KENYA KAMA “TROJAN HORSE”? VITA VYA DATA, TABIANCHI NA UTAWALA MPYA WA KIDIJITALI AFRIKA MASHARIKI
Katika karne ya 21, vita havitangazwi tena kwa mizinga pekee. Havianzi kwa ndege za kivita wala...
Jumuiya ya wanafunzi wa Chadema (CHASO) kutoka Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, imewajia juu wasomi nchini kwa kile walichokiita "uchawa wa wasomi," wakidai kuwa hali hiyo inaliangamiza taifa...
Ikishangaa ya mafuta utaona ya Gesi asilia.
Tayari kashaigawa gesi yetu yote ya Kusini. Nna Makubaliano ni kwamba Tanzania itapewa Mgawo wa asilimia 3 tu ye Gesi yote itakayo kwa matumizi ya...
MHE. GHATI CHOMETE AOMBA SERIKALI KUPELEKA FEDHA TAKRIBANI BILLIONI 18 KUKAMILISHA MIRADI YA AFYA HOSPITALI YA RUFAA YA MWL.NYERERE (KWANGWA), MKOANI MARA
Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Mara Mhe...
MKUTANO WA MAALUM (KIKAO CHA 3) WA BUNGE LA TANO LA JUMUIYA YA AFRIKA MASHARIKI (EALA) TAREHE 16 MACHI 2026
Bunge la Jumuiya ya Afrika Mashariki (EALA) limemuapisha Waziri wa Mambo ya Nje na...
JajiJoseph Sinde Warioba, waziri mkuu mstaafu amesema maisha yake yako hatarini. Anatishiwa kuuawa, lakini hana cha kuogopa.
"Kuna watu wengi sana wanaoniletea ujumbe, kwamba mzee angalia...
Viongozi wa Afrika, jitahidini kuwa na majasusi wa kimkakati.
Kuna ukoloni mamboleo unaorejea barani Afrika, ambapo baadhi ya viongozi wa ndani watatumika kuwasaliti na 'kuwauza' viongozi wenzao...
"Leo tuna miaka 60 tukiitwa Tanzania, ndiyo maana tuna rais ambaye ni mzanzibari, siyo mtanganyika. Anaweza kwenda ngorongoro akatoa amri kwa wanajeshi hawa, akasema fukuza wamasai wote ngorongoro...
Na George Michael Uledi Mei 11, 2026
Hivi karibuni, Rais William Ruto wa Kenya alitoa kauli iliyozua mjadala
mzito baada ya kutangaza kuwa ujenzi wa kiwanda kikubwa cha
kusafisha mafuta ghafi cha...
Ninathibitisha kwamba Chadema ndio CHAMA kikuu cha SIASA Nchini Tanzania, Kama unabisha fuatilia Mkutano wa CHAMA hicho muda huu kwenye viwanja vya Soko kuu
Ilikuwa vema mno kwa CCM kumtumia Anna...
Kweli kabisa mitandao inabaini mapema kabisa! Ktk kupanga bajeti za nchi, bajeti inaongezwa kutegemea nani ni waziri, na anapangiwa makatibu wakuu wa aina fulani. Trend hii ilijionesha kwa Bashe...
Jeshi la Polisi Kanda Maalum Dar es Salaam limethibitisha kupokea taarifa ya kifo cha mwanamke aliyefahamika kwa jina la Aisha Miraji, mkazi wa Nzasa Temeke, ambaye mwili wake ulipatikana kwenye...
Kwa sheria ya mabadiliko ya katiba, bunge lina nafasi kubwa ya kurekebisha katiba.
Wananchi tulio wengi tumeona MAMA ANATOSHA AONGEZEWE MUDA. Bunge lifanya kitu kabla ya 2030 ili mama aendelee...
Mbunge wa Jimbo la Kisarawe mkoani Pwani, Dkt. Selemani Jafo ametilia mkazo suala la wajibu wa kila mtanzania kulinda amani ya nchi akieleza kuwa ajenda ya amani haina mbadala hivyo inapaswa...
Mbunge, Taletale amependekeza kuwa Serikali ije na SGR ambulance kwa kuwa kuna wagonjwa wanakiwa wanahitaji huduma ya magari ya wagonjwa kutoka Morogoro kwenda Muhimbili ila hawana uwezo hivyo kwa...
Akichangia hoja Bungeni leo, Mei 12 MbungeTaletae amesema kuwa Licha ya wagonjwa kuwa wengi katika hospitali ya Taifa ya Muhimbili, ina magari mawili tu ya kubeba wagonjwa.
YA WARIOBA, MANGE NA KHALIFA: TANZANIA MOJA, ULIMWENGU MITATU TOFAUTI
Tanzania ya leo inaishi katika mgawanyiko ambao hauonekani kwa macho, lakini unasikika kwenye kila mjadala wa kisiasa, kila...