Mbunge wa viti maalum Mkoa wa Njombe Sigrada Mligo wakati akizungumza katika Mahojiano yaliyorushwa Julai 5, 2026, na Nijuze, amesema hawezi kurudi CHADEMA kutokana na sentensi iliyotolewa na...
Waziri wa zamani wa Nishati na Madini, Daniel Yona na waziri wa zamani wa Fedha, Basil Mramba ambao wanatumikia kifungo cha nje pamoja na kufanya usafi katika hospitali ya Sinza Palestina jijini...
Wanu Hafidh Ameir (born 9 February 1982) is a Tanzanian CCM politician and a member of the Zanzibar House of Representatives in the National Assembly of Tanzania since 2005. Her mother Samia...
Tutumie faida ya machafuko huko South Africa kukuza utalii Tanzania. Ikibidi itumike mbinu mbinu kuwa-support viongozi wa maandamano March to March na Dudula ili pawake kila siku kuharibika huku...
Mbunge wa Maswa Mashariki, Dkt. George Venance Lugomela, amesema maisha ya ubunge si rahisi kama wengi wanavyodhani, akidai kuwa wabunge wengi wanakabiliwa na changamoto za kifedha isipokuwa wale...
Mbunge wa Jimbo la Ikungi Mashariki, Thomas Kitima Mgonto akiwa Bungeni Dodoma Leo Aprili 22, 2026 amehoji Serikali ni lini itajenga minara ya Mawasiliano akieleza Vijiji vingi katika jimbo hilo...
Inazua maswali kuona viongozi wa chama wakitukanwa kwenye baadhi ya makundi ya WhatsApp yanayodaiwa kuhusisha wanachama, huku kukiwa hakuna hatua za wazi za kinidhamu zinazoonekana kuchukuliwa...
Fikiria, Una Kaka yako, Katekwa .
Unatakiwa ukareport Polisi TUKIO hilo
Unakutana na Habari ya WAZIRI ,anakuambia, Kama unaushahidi wa Utekaji, uniletee hapa !!.
SI TU kuwadharau Wananchi...
Huyu Jamaa amekuwa anazungumza vitu kwa kutishia amani za watu na vyombo vya dola vipo kimya kabisa!
Inaonyesha anapewa nguvu na watu wa juu katika serikali. Ila watambue kuna mwisho wa haya yote...
"Hakuna taifa ambalo likipoteza amani yake inarejea kirahisi...niwaombe sana wazazi wote Baba na Mama, Kaka, Shangazi, Mjomba mkanye mwanao mwambie jinai hailipi na bahati mbaya sana jinai haiozi...
Kumeanza kuchangamka.
Leo nilipita Tengeru askari wa JWTZ katika makundi wakiwa na silaha za kivita wapo mtaani wanazunguka tu.
Ndio kusema maandalizi ya kuelekea, tarehe 7.
Hali kama hii ni...
Inavyoonekana kwa sasa tumewaachia walami watufundishie vijana wanaoingia kwenye vyama pinzani kuhusu siasa.
Madhara yake ni kutengeneza vijana wasio na uzalendo kamili au mirengo yenye siasa kwa...
Waziri wa Mambo ya Ndani Patrobas Katambi amesema kuanzia leo Julai 4, 2026 mtu yeyote atakayetamka neno maandamano awe tayari na barua inayomruhusu na awe amefuata taratibu zote za kufanya...
Kimsingi Afrika yote hakuna demokrasia wala haki kama zile zinazotangazwa na nchi za Magharibi tuwe nazo. watu wetu wameishi kwenye hali hiyo hadi sasa bila shida sana. Hivyo ukosefu wa demokrasia...
Unakutana paap na mbunge wa ccm halafu unamnongoneza Kwa karibu ili mtu yeyote asisikie wewe ni jizi la kura atakufanya nini? Na hakuna shahidi aliyesikia maneno hayo ya kizalendo?
Rais, nakusalimia kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, pole na Kazi nzito ya kuliongoza Taifa letu pendwa hili la Tanzania. Mambo ni mengi sana ya kuendelea kusemezana na wewe kupitia...
Jamani naomba sana kwa wale ambao hamtaki maandamano msitutukane sisi ambao tunataka kuandamana kwa ajili ya haki na uhuru wetu.
Ninyi mmeshasema mtatuua sasa mtuache basi tuendelee na kupanga...
Utawala wa hayati JPM ulifanya kazi kwa ufanisi na uliweza kuwaridhisha wananchi kuwa upo makini na ulijali maslahi ya wananchi.
Idara ya usalama taifa ilikuwa karibu na wananchi. Ndio maana hata...