Makamu wa Raisi tumepata ja

Makamu wa Raisi tumepata ja

Joined
May 2, 2026
Posts
59
Reaction score
52
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi, leo tarehe 15 Mei 2026 amewasili mkoani Mara kwa shughuli za Kikazi. Pamoja na mambo mengine Mhe. Makamu wa Rais anatarajiwa kushiriki Mazishi ya Bw. Boniface Makene, aliyewahi kuwa Mwandishi wa Habari wa Makamu wa Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohamed Gharib Bilal, yatakayofanyika katika Kijiji cha Mabui, Musoma Vijijini mkoani Mara, kesho tarehe 16 Mei 2026. nchimbie @ofisi_ya_makamu_wa_rais
 
Kila la kheri Dr.Emmanuel Nchimbi,

R.I.P mpambanaji Boniface Makene
 
1778907838831.jpg
 
May 2 2026

The late BONIFACE MAKENE
1779230833493.jpeg

By: Happiness Katabazi: The late BONIFACE MAKENE who has died in the United States was a correspondent for the Vice President of the United Republic of Tanzania, Dr. Mohamed Gharib Bilal 2010-2015, a correspondent for the Mwananchi newspaper and the Mtanzania newspaper.

The death of my countryman Makene hurt me. I started reporting news for the Mwananchi newspaper in the early 2000s.

Mr. Makene and the photographer, Mr. Sufuani Maphoto, Mr. Seif Maalim and I were part of a team of journalists who traveled around the country in the General Election campaigns with the former CCM candidate in 2010, Dr. Gharib Bilal.

When Mr. Makene was studying at UDSM, he would come to the Mwananchi newspaper newsroom to write news and he found me already started my journalism career.

Also, when my late Editor Dany Mwakitereko was planning for me to go report on the UDSM student strikes, I used to meet him in the chaos between the FFU riot police and the protesting UDSM students.

R.I.P, We loved you but God loved you more.
May God place your soul in the right place. Amen

View: https://m.youtube.com/watch?v=Er10IO0BD8Y
 
Back
Top Bottom