HII NAYO NI MUHIMU MNO
1. Magufuli udikteta wako haisaidii maana Sisi sote ni Nyama ipo siku utaondoka tena yawezekana hujamaliza muhula ujao kwakuwa Hakuna anayejua ya Mungu
2. Rejesha pesa za...
John Heche Makamu Mwenyekiti wa Chadema bara, akizungumza na Vijana wa Chama hicho Mjini Dodoma leo Jumatano amesema Taifa linaangamizwa na watu wasio na maarifa wanaogopa hadi Tiktok...
Uwa nawaambia daily hapa mi ni CCM Ila CCM ambaye sipendwi n wenzangu hasa machawa !
Kadi yangu nilianza nayo Mwaka 1982 nikiwa PUGU HIGH SCHOOL (PCM )
Nataka sasa wenyewe
1. Kwanza Mimi...
Habari zenu wakuu ,
Nakili kwamba ile report ya Twaweza inaweza kuwa ina reflect ukweli kwamba
July - September 2015 Mheshimiwa Magufuli alikubalika kwa 56 kati ya 100
October 2015- December...
Zipo Nchi nyingi Duniani zilizowahi kufanya maridhiano ya pamoja kwa njia zinazotofautiana zikitumia mbinu na mikakati tofauti ili kufanikisha amani na utulivu. Nchi hizo ni pamoja na...
Habari za Jumapili,
Leo nimekuwa nawaza kwamba ni ama watanzania wana asilimia fulani ya ugonjwa wa kusahau walichosimamia Jana na kusema kauli tofauti kesho yake,
Mwaka 1985 kipindi Nyerere...
Naona wananzengo wanaleta hata tweet nilizofuta sijaelewa kwanini zitrend muda huu!
Kiufupi Magufuli alipuuza masuala ya wataalamu akaleta kujifukiza
Kumbe anajimaliza yeye na battery ya moyo...
Mnamo mwaka 1985,Mwalimu wa kemia wa shule ya sekondari Sengerema JOHN POMBE MAGUFULI aligombea ubunge wa Jimbo la biharamulo akichuana na mkulima PHARES KABUYE (wote CCM). PHARES KABUYE alishinda...
In preparation for the Kizimkazi Festival (Kizimkazi Festival 2026),
Vice President of the United Republic of Tanzania Ambassador Dr. Emmanuel Nchimbi has arrived in Zanzibar today, August 11...
Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, John Heche, amesema vijana ni nguvu kubwa katika jamii na wana uwezo wa kusababisha mabadiliko nchini.
Heche ameyasema hayo akizungumza na vijana, akiwahimiza...
Tundu Lissu akimtania Heche mahakamani leo akimaanisa ana kipara hajaunga kampeni ya kudai haki kwa kutokunyoa nywele kama ambavyo wengine kina Boni Yai wamefanya kushinikiza Lissu kuachiwa kutoka...
Ukiwaweka wanasiasa hawa wawli , Tundu Lisu na Samia ukawaangalia vzr KWA jicho la kiroho au hata kawaida ,utagundua kitu ,
Samia anaishi na kulala nyumba nzuri na godoro la nchi 1000, anawalizi...
Ikulu Chamwino, Dodoma
It has been a blessed and fruitful day meeting and engaging in discussions with the Catholic Bishops through the Tanzania Episcopal Conference (TEC). We have addressed...
Kama TEC haiku raise issue hizi, basi imejitia unajisi
1. Kupigwa kwa Fr. Kitima and government inaction to investigate the atrocity
2. Utekaji
3. Mauaji
4. Katiba mpya
5. Tume huru ya UCHAGUZI...
Tumsifu Yesu Kristo
Ma - Baba Askofu wetu wa TEC!
Nawaandikia haya kama mshirika na muumuni mwaminifu wa kanisa Katoliki ambaye ni muathirika wa utawala wa Rais Samia Suluhu Hassan na serikali...
Kuna daftari linapita katika baadhi ya vijiji likiwataka watu kuandikisha taarifa zao mie kuna kijiji nipo nimealazimishwa kuandikishwa vip huu utaratibu ukoje hebu nijuzeni hii ni sheria au kitu gan
nina dhani ni bora kujipendekeza kwa katiba kuliko kwa watu, kuna katetesi ndani ndani kwamba hata si bunge tu hata wakuu wa wilaya nao ni majanga kila siku kujipendekeza, kama Mkuu wa wilaya ya...
Hili ni swali baada ya wadau kunusa udanganyifu kwenye Utambulisho wake, sasa tunaomba wadukuzi watueleze ukweli wa mtu huyu Kilaza kabisa anayepigwa spana Mahakamani bila huruma yoyote
Kwa...