Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Wanabodi Hii ni makala yangu ya kufungulia mwaka kwenye gazeti la Leo la Mwananchi...
5 Reactions
43 Replies
1K Views
Wanabodi Dini zote zinafundisha kuhusu haki Haki huinua Taifa (Mithali 14:34) na haki na amani vinabusiana (Zaburi 85:10) wenye kutoa hukumu dhidi yetu na dhidi ya wengine watoe hukumu kwa haki...
15 Reactions
45 Replies
1K Views
Wanabodi Hii ni Makala yangu ya leo, kwenye gazeti la Nipashe la Jumapili ya leo Declaration of Interest Naomba kuanza kwa kudeclea interest kuwa mimi ni muumini wa ile rai ya Makomu wa Rais...
6 Reactions
26 Replies
543 Views
Wanabodi This is News Alert! Wale wana JF wenye access kusikiliza DW Radio,msikose kusikiliza DW Radio leo jioni kuanzia Saa 12:00 jioni,kuna uchambuzi kamambe wa mchambuzi mahiri,wakiichambua...
8 Reactions
18 Replies
475 Views
Nakubaliana asilimia na Zitto wa Kigoma kuwa Chademq 8nq wafuasai na wanachama wengi na chama kikubwa cha upinzani. Sisi wafuasi wa Lissu na Chadema tunajisika vipi kiongozi wetu ambae ana...
0 Reactions
1 Replies
124 Views
Mbona hamtoi taarifa? Megawati 2000 na ushee za ziada Alafu mnakata umeme ?
2 Reactions
16 Replies
334 Views
Leo tarehe 23 Mei 2026 Watu wenye mapanga wanaodhaniwa ni vijana toka CCM, wamevamia mkutano wa Chama na kuanza kuwakata mapanga wanachama na viongozi waliokuwa wanaendelea na maandalizi ya...
10 Reactions
68 Replies
1K Views
Waziri Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Monduli Mh. Edward Lowassa akiwa na Mzee Pancras Ndejembi na Mama Ndejembi ambao Marehemu alikuwa Mjukuu wao. Mh Lowassa alikwenda nyumbani kwa Mwanasiasa huyo...
1 Reactions
45 Replies
15K Views
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Mahmoud Thabit Kombo amesema kuwa siku za hivi karibuni Rais Samia amekuwa akisemwa na kuchorwa sana na lawama zote kupewa yeye...
3 Reactions
23 Replies
536 Views
Tundu Lissu alikuwa active toka kipindi cha Hayati Magufuli, na Magufuli hakuwahi kuactivate Jinai kwa sababu alijua hawezi kufanikiwa na ni kitu ambacho kingempa adhabu kali sana. Karudishwa...
7 Reactions
127 Replies
2K Views
Katika ulimwengu wa siasa za kijiografia na uchumi wa kimataifa, swali kuu limeendelea kuibuka: Kwa nini mataifa mengi ya Afrika yanayofuata masharti ya IMF na Benki ya Dunia hubaki nyuma, huku...
0 Reactions
2 Replies
276 Views
IGP Mstaafu Omar Mahita amesema Jeshi la Polisi la Sasa linaingiliwa na Wanasiasa. "Polisi wanaingiliwa na wanasiasa... ndio maana nikasema mimi wakati wangu hapa challenge yangu ni wanasiasa...
14 Reactions
37 Replies
1K Views
Aliteuliwa na Rais Samia mwaka 2023 kuwa mkuu wa wilaya Mbogwe yeye na mwenzake Maganga wakakataa uteuzi. Jana wamefikishwa mahakamani kwa kesi za uhujumu uchumi na utakatishaji fedha. Je, ni...
9 Reactions
47 Replies
1K Views
Rostam na wafanyabiashara wengine kaeni mbali na CCM ! mtafilisiwa. Msifikirie kuficha pesa uarabuni inasaidia wale ni vibaraka wa USA karibu wote. Mkihusishwa na CCM na majanga ya mauaji hakuna...
4 Reactions
25 Replies
471 Views
  • Redirect
2 Reactions
Replies
Views
Kabla ya kuanza kuzichambua kanuni 10 za Uzalendo, Kiongozi Mstaafu wa Chama cha ACT Wazalendo Zitto Kabwe ameanza kwa kutukumbusha kuwa yeye hakuondoka CHADEMA kwa hiari yake, alifukuzwa. Mimi...
1 Reactions
13 Replies
325 Views
Kutoka Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala Ndogo ya Dar es Salaam leo, Alhamisi Mei 28.2026, Mahakama imeifuta rasmi na kuindoa Mahakamani Hati ya kesi ya madai iliyofunguliwa na aliyewahi kuwa...
11 Reactions
51 Replies
1K Views
Rais Samia Suluhu Hassan anasisitiza kuwa amani na utulivu uliopo leo ni matokeo ya kazi ya jeshi la polisi kwa kushirikiana na vyombo vyetu vingine vya ulinzi na usalama. "Kwa kuwa hii ni mara...
0 Reactions
1 Replies
165 Views
Jamaa alitoa jibu la kitoto sana eti walikubali kuingia kwenye uchaguz ili kupata ushahidi wa kula kutokuheshimika
2 Reactions
22 Replies
519 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…