Mh. Edward Lowassa ahani msiba wa Betty Ndejembi

Mh. Edward Lowassa ahani msiba wa Betty Ndejembi

OgwaluMapesa

JF-Expert Member
Joined
May 24, 2008
Posts
10,942
Reaction score
437
Waziri Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Monduli Mh. Edward Lowassa akiwa na Mzee Pancras Ndejembi na Mama Ndejembi ambao Marehemu alikuwa Mjukuu wao. Mh Lowassa alikwenda nyumbani kwa Mwanasiasa huyo Mkongwe eneo la Uzunguni Mjini Dodoma kumpa pole ya kufiwa na Mjukuu wake.Marehemu Betty Ndejembi enzi za Uhai wake.Waziri Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Monduli Mh. Edward Lowassa akisalimiana na Mdogo wa Marehemu Betty Ndejembi, Aisha Ndejembi aliyeuawa wiki mbili zilizopita jijini Dar es salaam.Pembeni ni Mzee Pancras Ndejembi na Mama Ndejembi ambao Marehemu alikuwa Mjukuu wao.
 
[h=1]"tulifurahi pamoja, tulihuzunika pamoja na tutashinda pamoja"[/h]
 
Nimependa tu hiyo nembo pembeni ya picha juu kulia.
 
Mbona akienda kutibiwa German inakuwa siri? Kwenda kuhani msiba ndio aende na makamera! Acheni kuigiza utu bwana,
 
Utu katika jamii ni muhimu sana.nasi wananchi tutaendelea kuwa na utu kwako hasa 2015
 
Sijui ni kipi kinanifanya kama kumkubali Lowasa hv miongoni mwa wanaccm wote waliotangaza nia.......
 
tusiwe na jazba na chuki zisizo za msingi, tupendane kwa Utanzania tunayojivunia.
 
Huyu mrembo aliuawa na nani? Kwa nini?

RIP Betty
 
Neno mstaafu linatumika vibaya! Mtoa taarifa ukutenda haki picha ya marehemu, ungeweza kuchagua iliyo bora zaidi kwa mazingira haya ya taarifa yako.
 
Back
Top Bottom