Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

"Tatizo lililopo ni kwamba, yaani watawala wetu hawaoni kama Tanzania kuna tatizo. Yaani ukiwa ukiwaangalia, hawaoni kama kuna tatizo. Hawaoni kama kuna mapungufu makubwa katika mamlaka walizonazo...
10 Reactions
6 Replies
245 Views
Hana njaa na wala hana shida ta uongozi. Ana msimamo juu ya suala analolisimamia. Dk Nchimbi alimsihi sana arudi CCM lakini akakataa. Ameongea mambo ya msingi sana ambayo ni muhimu kwa...
2 Reactions
2 Replies
140 Views
Waziri wa Afya Mohamed Mchengerwa amekabidhiwa tuzo ya ZIKOMO katika kipengele cha Best Zikomo Member of Parliament of the year Africa & Caribbean 2025. Waziri Mchengerwa amekabidhiwa tuzo hiyo...
9 Reactions
50 Replies
987 Views
Ndugu zangu Watanzania, Kama Ambavyo Tumesoma Katika Vitabu vya Historia Juu ya Historia za Akina Mwalimu Julius Nyerere,Nelson Mandela,Nkwame Nkurumah, Samora Machelli,Kenneth Kaunda ,Jommo...
5 Reactions
55 Replies
748 Views
Mbunge wa Viti Maalum kupitia Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA) Sigrada Mligo ameeleza kuwa hajaona utofauti wa maisha tangu bandari ilipokodishwa na alishangazwa na kodi mpya aliyoiona wakati...
1 Reactions
0 Replies
151 Views
Anonymous
TECU imekuwa kichaka cha mameneja wa Mikoa na baadhi ya watu kutoka TANROADS HQ kujinufaisha, wamekuwa wakiweka figisu miradi mingi isimamiwe na TECU ili waendelee kupata fedha bila kazi. Private...
1 Reactions
2 Replies
157 Views
Moja ya jambo limeniacha na peace of mind ni kuwa neutral sana kwenye siasa za Tanzania zisizoeleweka. Nimeona mahali JF mleta mada ameleta document ya Desemba 2025 ambapo bunge la senate la...
8 Reactions
108 Replies
1K Views
Dodoma: Askari kanzu wanamsaka Tundu lissu kwa udi na Uvumba, Wanataka kumkamata. Mlinzi wa Amani anamtafuta Lissu, Nahisi hii ni kutokana na matamshi aloyatoa hivi karibuni alipokuwa akiikosoa na...
52 Reactions
922 Replies
72K Views
Kumbe kazi siyo ndogo, hii bill kama Trump atatia saini kutakuwa na kilio na kusaga meno. Mswada wa Marekani unaagiza kutathmini ushirikiano wa Tanzania na China kijeshi, kiuchumi na kisiasa...
29 Reactions
244 Replies
4K Views
Aliyekuwa Jaji wa Mahakama Kuu ya Tanzania, Prof. John Ruhangisa, ametoa onyo kali kwa vyombo vya ulinzi na usalama, akisisitiza kuwa kwa mujibu wa misingi ya Katiba, askari yeyote hatakiwi...
1 Reactions
7 Replies
243 Views
  • Redirect
My Take Sio Kila Rais wa Tanzania anaweza Kualikwa Nchini Urusi,hii huja Kwa mtu kwenye msimamo na asiyeyumbishwa na aliyekataa kuwa kibaraka wa beberu wa West wanaowafashili wale vibaraka...
0 Reactions
Replies
Views
Wakuu, Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum (Fungu 53), imeomba Bunge kuidhinisha jumla ya shilingi Bilioni 108, 024, 243 kwa ajili ya utekelezaji wa majukumu yake...
1 Reactions
1 Replies
180 Views
Anonymous
Hawa jamaa, usimamizi wao unatia mashaka. Kiusalama, hali haijakaa vizuri. Kuna vipande vya barabara ambavyo havina lami na hakuna viashiria vyovyote vya tahadhari, jambo linaloongeza hatari ya...
2 Reactions
5 Replies
138 Views
Nimeona mtandsoni waziri Wa Ujenzi, Bw Ulega akijipigia sound at serikali itajenga Flyover Mwenge na Morocco. Kama mkazi wa Dar, nikikumbuka hizi sinkelele za kwanzankuzisikia. Zaidi ya miaka...
1 Reactions
3 Replies
400 Views
Wakuu nasikitika kutangaza kifo cha diwani huyo na mwana JF mwenzetu. Diwani Kata ya Shelui, Wilaya ya Iramba, Mkoa wa Singida kupitia chama Cha Mapinduzi CCM, Agnes Nasania Amos amefariki dunia...
10 Reactions
72 Replies
1K Views
Sasa uchokozi umefikia pabaya na hii sasa ni vita!! Taarifa iliyonifikia hivi punde ni kuwa jemedari Dr. Ulimboka ametekwa majira ya saa sita usiku na watu watatu waliokuwa na silaha za moto na...
104 Reactions
2K Replies
206K Views
Jeshi la Polisi Tanzania, limetoa onyo kali watu wanaotangaza mpango wa kuiangusha serikali ya awamu ya Sita inayoongozwa na Rais Samia akibainisha kuwa huu ni uhaini na hatua kali za kisheria...
20 Reactions
279 Replies
26K Views
Yanayotokea Libya yanawatia taabu baadhi ya wakuu wa vyuo huko Ulaya. Kwa mfano huu; The director of the London School of Economics (LSE), Sir Howard Davies has resigned over its links to Libyan...
57 Reactions
943 Replies
137K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…