PhD ya Magufuli na wanasiasa wengine zichunguzwe upya! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

PhD ya Magufuli na wanasiasa wengine zichunguzwe upya!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by MchunguZI, Mar 6, 2011.

 1. MchunguZI

  MchunguZI JF-Expert Member

  #1
  Mar 6, 2011
  Joined: Jun 14, 2008
  Messages: 3,623
  Likes Received: 590
  Trophy Points: 280
  Yanayotokea Libya yanawatia taabu baadhi ya wakuu wa vyuo huko Ulaya. Kwa mfano huu;

  The director of the London School of Economics (LSE), Sir Howard Davies has resigned over its links to Libyan leader Col Muammar Gaddafi. ...

  He said the decision to accept £300,000 for research from a foundation run by Col Gaddafi's son Saif had "backfired".

  The LSE has already announced it is investigating claims that Saif Gaddafi plagiarised his PhD thesis, which was awarded in 2008.

  Huko Ujerumani nako kuna haya;
  Germany's defence minister Karl-Theodor zu Guttenberg was forced to resign today after admitting plagiarising large chunks of his doctoral thesis

  Zu Guttenberg, 39, agreed to drop his doctor title nearly a fortnight ago over allegations he copied chunks of his PhD thesis from newspapers and the Internet.

  Hapa kwetu je?
  Huyu anayeitwa Dr Magufuli inaeleweka kabisa hakuingia maabara kufanya kazi iliyompa Ph.D.

  Hatua gani ichukuliwe kwa profesa aliyesaidia udanaganyifu huu kama ilivyomtokea Sir Howard Davies?

  UD kama chuo, kimechukuwa hatua gani?

  Yeye mwenyewe Magufuli kama ilivyo kwa Zu Guttenberg amechukuwa hatua gani.

  Mwisho hao wengine waliotajwa na Mr Msemakweli ktk kitabu chake wako wapi na Ph.D zao?
   
 2. Rugaijamu

  Rugaijamu JF-Expert Member

  #2
  Mar 6, 2011
  Joined: Jul 10, 2010
  Messages: 2,832
  Likes Received: 556
  Trophy Points: 280
  Hivi huyu bwana Msemakweli yuko wapi?mbona kimya....alafu si kuna waliotishia kumshitaki huyu bwana,mbona nao kimya!
   
 3. eliesikia

  eliesikia JF-Expert Member

  #3
  Mar 6, 2011
  Joined: Oct 29, 2010
  Messages: 423
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 45
  Kuhusu Magufuli nitakujibu kwa ufahamu wangu.

  Si kweli kusema jamaa hakuingia maabara ya Chemistry pale chuo... Kwa taarifa yako Magufuli ni maarufu sana pale chuoni kwa kuwa alikuwa akila RB na wanafunzi wengine muda wa mchana akitokea Lab.

  Pia Magufuli amesoma PhD yake kama wanafunzi wengine akifanya ishu za kiunafunzi kama Discussions na walimu wake, kuingia maabara, kula Cafeteria zaidi cafe 1 pale, kuongea stori za kiunafunzi na wenzie wa Phd na wengine wa Masters...

  Wengi walikuwa wakishangaa saana 2008/10 kumuona Mhe. John mkali wa kumbukumbu.. Sio utani kumuona bungeni yuko vile njoo uulizie pale UDSM uwezo wa Magufuli utaambiwa... Jamaa habahatishi kabisa akili kumkichwa...

  Lakini haishii hapo tuu angalia CV zake form 4 na six na degree ya kwanza alaipata class gani...!!!

  ANGALIZO:
  Kabla hujaandika upuuzi au malighafi(unreseached data) tafadhali fanya uchunguzi kwanza.

  BIG UP TO MAGUFULI
  HE WILL MOVE TO CHADEMA IF CCM DENIES HIM TO BECOME THE NEW PRESIDENT OF THIS COUNTRY!!

  PEOPLE'S POWER
   
 4. MchunguZI

  MchunguZI JF-Expert Member

  #4
  Mar 6, 2011
  Joined: Jun 14, 2008
  Messages: 3,623
  Likes Received: 590
  Trophy Points: 280
  Duh!
  Hapo kwenye red font ndo umenimaliza. Hiyo ni ishara ya ushabiki wa ndoa. Yaonekana una ndoa na Magufuli maana hoja ilikuwa pana ikiwahusisha wanasiasa woote pamoja na vyuo vyao.

  Kwako wewe tatizo ni Magufuli hata kama wengine wakiondolewa Ph.D, haikupi taabu.

  Sasa unatetea kwa pointi za kizembe! PhD inapatikana kwa kula cafeteria na kupiga stori za kianafunzi? takataka!

  Nakupa task ili ushabiki ukutoke. Unamfahamu aliyesimamia hiyo Ph.D? Unafahamu sasa hivi yuko wapi?

  Ukilazimisha nitakupa mambo ya aibu ya shule hiyo lakini hapa ni kwa wanajamii. Tunataka utu na akili itumike.

  Usimuinue mtu bila sababu maana hiyo CV ya magufuli iko wazi kuliko unavyoificha.
  Unafahamu Master aliisoma miaka mingapi?
   
 5. Arafat

  Arafat JF-Expert Member

  #5
  Mar 6, 2011
  Joined: Nov 17, 2009
  Messages: 2,582
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 0
  Uwezo wa Magufuri unaonekana wazi kuwa ni mdogo sasa, haiitaji kuangalia CV yake; pia ni muongo, uelewa wake siyo hata wa Master degree labda form four; hakuna PhD holder anaweza kufikiria kubomoa jengo la Tanesco Ubungo wakati lilijengwa yeye mwenyewe Magufuri akiwa waziri, kwasababu ya kutafuta sifa za kisiasa na kuitia Serikali na Umma hasara ya Mabilioni yaliyotumika kujenga hilo jengo.

  Mimi mtu anayemshabikia magufuri uwa namuona kama ****, hasiyejua Dunia inakwenda wapi na inatoka wapi. Hakuna jambo la maana hata moja ambalo nimewahi kumsikia akionge hata siku moja tokea nimeanza kumfahamu

  Ebu tupe data huyo Prof wake na mambo yote hachana nao wake wa Magufuri
   
 6. Waberoya

  Waberoya Platinum Member

  #6
  Mar 6, 2011
  Joined: Aug 3, 2008
  Messages: 11,588
  Likes Received: 3,887
  Trophy Points: 280
  My friend it seems you have more about Magufuli, what you have is esoteric to us! why dont you disclose all information so that we can all dispute Magufuli's PhD? I am believing beyond reasonable doubts his PhD is genuine, we sawa him in lab, in corridors, we know his perfomance etc., I believe we are in academic point of vie not politics..... he did his PhD for three years which is minimum duration of doctorate programme.

  I believe we have many people not only leaders that have disputable PhDs, though that we as a country we dont have standard in any level of our education that differentiate one level with another. In other words your topic would be interesting if you can ask what has been done by those who have genuine PhD! I am confidently saying Magufuli's PhD is the best compared to rest in the cabinet or in CCM to be precise.

  BTW is only Magufuli in CCM????

  I dont want to discuss this further cause you have said it all! at a glance' advantage of just one lane road is thousands times more than any normal tall structure. You can never compare the benefits of road to that of building like that one in Ubungo! You have made yourself blind by not thinking even 50 years from today! In this sense his o-level education of Magufuli which you have awarded him is lots better than your any level of education! Comparison of advantages of road and building is available in just normal literatures it does not need complicated professionalism to grasp that.

  In those highlighted areas, is this far you can go to discuss matters in JF??
   
 7. mashikolomageni

  mashikolomageni JF-Expert Member

  #7
  Mar 6, 2011
  Joined: Jan 5, 2010
  Messages: 1,565
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Thanks Prof. Waberoya you have cleared me I had no doubt about Dr Magufuli's PhD
   
 8. Fredrick Sanga

  Fredrick Sanga JF-Expert Member

  #8
  Mar 6, 2011
  Joined: Jan 27, 2011
  Messages: 3,148
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  Magufuli's PhD is pure and matured. Myonge myongeni, lakini hakiyake mpeni:spider:Jengo la tenesco halisaidii hata pesa inayotumika barabarani kwa wiki moja, mwacheni Dr Pombe afanye kazi. Tena ilibidi tuandamane kummunga mkono.
   
 9. Waberoya

  Waberoya Platinum Member

  #9
  Mar 6, 2011
  Joined: Aug 3, 2008
  Messages: 11,588
  Likes Received: 3,887
  Trophy Points: 280

  We dare talk openly!! we have rleady discussed about his PhD long a go...relax you are not late!
  Read post number 96.

  https://www.jamiiforums.com/celebrities-forum/45386-dr-john-pombe-magufuli-5.html


  You can read from first thread ili ujiridhishe

  smile!
   
 10. Arafat

  Arafat JF-Expert Member

  #10
  Mar 6, 2011
  Joined: Nov 17, 2009
  Messages: 2,582
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 0
  You are trying to write what you really don't know at all: can you justify the importance of one lane road against a tall building in Urban Transportation? Don't repeat such a rubbish sense of humour at all.

  If you one of those thinking so you must understand that, you are lagging behind the education and economical indicators of transportation, if not ignorance. In Urban transportation road is nothing but a transport to Job, hospital and economic activities, which if we can attain in sustainable design people could even walk to Job and those mall (building) are the Job places and where economical activities are executed.

  Try to focus and go school if what to know this.
   
 11. M

  Matarese JF-Expert Member

  #11
  Mar 6, 2011
  Joined: Aug 30, 2009
  Messages: 519
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  MchunguZI nadhani ingekuwa ni bora zaidi kama ungeweka ushahidi kuwa Magufulu hakuwahi kuingia maabara na kwamba kulikuwa na udanganyifu. Bila ya hivyo hii thread yako inaonekana aidha ni udaku au chuki binafsi.
   
 12. Sabode

  Sabode Senior Member

  #12
  Mar 6, 2011
  Joined: Apr 11, 2008
  Messages: 159
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  Likibidi kuvunjwa libomolewe hata leo lina thamani gani acheni upuuzi hapa dr kaa limekaaa pasipo piga chini achana na macd wa thithiemu
   
 13. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #13
  Mar 6, 2011
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  kweli kabisa,at that time chuo kilikua kinakabiliwa na migomo,phd yake ni ya chemia,na disertation yake ilipendkezwa itungiwe kitabu,nadhan ni umuhmimu wa maganda ya korosho ktk kuzuia ku2,pamoja na hayo siku ambayo alikwenda kupresent proposal yake pale councel chamber,maprof weng walimpania,na wanafunz weng walijaa,jamaa aliuweka uwazir kando,akauvaa uanafunz,maguful amekula rb,rice beans pale kafeteria ya HAVARD
   
 14. Arafat

  Arafat JF-Expert Member

  #14
  Mar 6, 2011
  Joined: Nov 17, 2009
  Messages: 2,582
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 0
  Thibitisha unachotaka kusema, juu ya kubomoa jengo la Tanesco!! utaandamana mwenyewe Watanzania wa leo hapo kwenye Usingizi kama unavyofikiri Mkuu
   
 15. B

  Batale JF-Expert Member

  #15
  Mar 6, 2011
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 1,066
  Likes Received: 439
  Trophy Points: 180
  Mchunguzi unatumia wewe kwanini Dr. Magufuli tu ndo umemuona ktk wengi, lakini pia tupe source yako.
   
 16. Arafat

  Arafat JF-Expert Member

  #16
  Mar 6, 2011
  Joined: Nov 17, 2009
  Messages: 2,582
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 0
  We ni benda fuata upepo hamna hunajua bora umeandika siku imepita, pole sana Mkuu
   
 17. Lyimo

  Lyimo JF-Expert Member

  #17
  Mar 6, 2011
  Joined: Mar 7, 2006
  Messages: 3,828
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  As far as I know (with my form IV knowledge), Tanzania we dont have any High Way. So I do support to sweep TANESCO building and others, at least to give a brith in accessibility. The validity of PhD are not correlated with the accessibility problems. However, I dont support the fake/forged education qualifications of our leaders and all others.
   
 18. G

  GAMA LUGENDO Senior Member

  #18
  Mar 6, 2011
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 131
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Ndugu mchunguzi acha mizengwe yako, Dr Magufuri ni kichwa (best brain) hivyo usidhani amepewa PhD yake kirahisi.Na UDSM haina record ya kutoa fake PHDs.Kuna ambao doctorates zao zina utata na hao wanafahamika hapa TZNIA.Refer kijitabu cha Msemakweli.
   
 19. RealMan

  RealMan JF-Expert Member

  #19
  Mar 6, 2011
  Joined: Nov 9, 2010
  Messages: 2,352
  Likes Received: 160
  Trophy Points: 160
  Hii thread haikuwa na haja ya kumtaja Dr. Pombe maana hujaonyesha PhD yake ni feki kivipi!
  Lakini pia wangapi wenu wenye kujivunia madigrii mmeyapata kwa kudesa, ni kwa vile hamjakuwa public figures.
  No wonder baadhi yenu huku maofisini hamfikii performance ya kina Kayumba kama sisi wenye street education.

  Kama umeelimika ungekuja na facts za Prof nani alimsimamia Bw. Pombe, muda aliotumia kupata PhD yake n.k.

  Kama PhD ya mr. Pombe ni feki tutamtafutia ya bure huku street Uni, mbona mkuu wa nchi anazo 4 za kupewa.
   
 20. b

  banyimwa Senior Member

  #20
  Mar 6, 2011
  Joined: Mar 1, 2011
  Messages: 117
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Sasa hapo bro umetumia vigezo tofauti. Kuna wale waliokuwa wanahoji kama hata aliingia Lab, na jamaa ametoa ushuhuda wa maisha ya chuo ya huyo mnayemshuku sasa huoni kwamba suala la Cafeteria ni relevant as far as the question is concerned? Sasa unapozungumzia suala la kufikiri au ku-behave kama msomi hilo ni lingine kwa sababu mtu anaweza akawa hana elimu ya juu na bado akawa na uwezo wa kujenga hoja na akasikilizwa. Kwani elimu ya Mbowe mnaifahamu? Au ile ya Shibuda? Ukweli unabaki kwamba Magufuli ameshuhdiwa akisoma katika kila hatua ya elimu yake kuanzia digrii ya kwanza, ya pili mpaka ile ya uzamivu. Hapa wadanganyifu wa kuwafuatilia ni hao akina Nchimbi, Kamala, Mahanga na mafisadi wengine wa elimu kama Msemakweli alivyowabainisha.
   
Loading...