Dodoma: Tundu Lissu agoma kutoka nje ya Mahakama akihofia Polisi, wamshauri atoke hakamatwi..

figganigga

JF-Expert Member
Oct 17, 2010
25,491
54,884
lissu.jpeg

Dodoma: Askari kanzu wanamsaka Tundu lissu kwa udi na Uvumba, Wanataka kumkamata. Mlinzi wa Amani anamtafuta Lissu, Nahisi hii ni kutokana na matamshi aloyatoa hivi karibuni alipokuwa akiikosoa na kuikemea Serikali ya CCM kuhusu ukandamizaji wa Demokrasia na uminyaji wa Uhuru wa kujieleza na kutoa maoni. VIDEO: Tundu Lissu ataka Rais Magufuli asusiwe kila mahali na mataifa mengine duniani

Baada ya kustukia Mtego, Tundu Lissu ameapa kutokutoka nje ya Mahakama na kama wanamtaka wamfuata ndani ya Mahakama wamkamate. Kwai kaenda kuwatetea wateja wake tangu jana anawatetea.

Huu hapa ni ujumbe katuma

"Tell members that there are police officers in plain clothes who've been sent to arrest me in the Dodoma Resident Magistrates Court where I'm representing clients in a court hearing since yesterday. Tell them I'm not going to go out of the courtroom. If I've to be arrested then it will be inside the courtroom. Send this to all our networks in and out of the country.."

My Take:

Utakaa ndani lakini mwisho wa siku utatoka. Hata Sadam Hussein alijichimbia lakini alitoka. Au tutakurushia bomu la machozi. Ukitoka unadakwa.

======

UPDATE 1

Tundu Lissu:
Dear members.

Greetings from your President wherever you may be.

I'm in Dodoma since Monday night. I've been representing schoolteachers in a dispute with their trade union body since yesterday.

Early today before coming to the Dodoma Resident Magistrates' Court for the case, I was called by my wife in Dar to be informed that about six police officers in plainclothes were in my residence looking to arrest me for my criticism of President Magufuli's policies two days ago.

After they're informed of my absence, they must have communicated with Dodoma for, while in Court about an hour ago, I was informed that there were police officers waiting for me outside the courtroom.

They'll pounce on me the moment I step outside the courtroom.

I'll most likely be transported to Dar again. It's almost certain I'll be incarcerated in police jails as it's happened so often this past one year or so.

I'm undaunted and remain steadfast. I'll not be silenced by the Tyrant. No jail or police dungeon will shut me up.

It's a question of principle: we're either a Democracy in which free speech and political freedoms are respected; in which even the most vehement criticism of the President is tolerated, if not encouraged.

Or we're a Dictatorship, in which there's no freedom and whatever the Big Man says is unchallenged.

I've chosen Democracy over Dictatorship. I'm prepared to pay the price for my choice. I ask you all to make the choice as well.

Since they've chosen to follow me in court while I'm doing my duty as an officer of the court, I've decided I'll remain inside the courtroom.

If they've to arrest me, then it'll have to be inside the courtroom. The world will have to know what Tanzania ya Magufuli really is: a Dictatorship.

I ask you all to mobilize. Do what you can to get the word out. Tell the world what's happening. Tell our sister societies in East Africa, in SADC and in PALU as well as IBA about this.

Only mobilization and resistance on this scale will secure our rights as lawyers. Only mobilization will prevent the Tyrant from legislating TLS out of existence, as he has openly declared.

I wish you all the best.

Tundu Lissu
President.

=======

UPDATE 2:

Polisi Waamua kumfuata ndani ya Mahakama.


RPC wa Dodoma amemfuata Tundu Lissu ndani ya Mahakama na kumuambia kwamba hajaagiza mtu yoyote kumkamata, hivyo asiogope kutoka nje. Amemwambia atoke tu kwani hajapata maagizo yoyote ya kumkamata Lissu. Sasa Lissu Kashatoka Mahakamani yupo Nyumbani kwake Area D. "Uwe na amani, hakuna atakaye kusumbua". Amesema RPC wa Dodoma.
08a4a600-b23a-4722-b978-c86e674dc75c.jpg


UPDATE: 3

Tundu Lissu:
Dear members.

Sorry to disturb y'all again. I'm relieved to have to inform you that I'm free, for now at least.

A short while ago the Regional Police Commander for Dodoma came into the courtroom to personally inform me that he's under no instructions to have me arrested.

He asked me, politely I must confess, to leave the courtroom and no one will molest me. He said it in front of the cameras, as members of the press were present in good number.

I've decided to give him the benefit of my doubts. I'll be driving back to Dar tomorrow morning, to be able to catch an evening flight to Kigali, to attend EALS Governing Council meeting slated for Friday and Saturday.

We can, for now at least, breath an easier sigh of relief.

I thank you for keeping me in your thoughts and prayers.

Tundu Lissu
President

Habari zaidi...

Mwanasheria wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA na mbunge wa Singida Mashariki Mhe. Tundu Lissu amegoma kutoka katika chumba cha mahakama ya wilaya ya Dodoma alipokuwa akifanya shughuli zake za uwakili akihofia kukamatwa na jeshi la polisi kwa makosa ya uchochezi.

Mwanasiasa huyo ambaye pia ni rais wa chama cha mawakili Tanzania anasema amefikia uamuzi huo baada ya kubaini njama za polisi za kumkamata ambapo anadai awali askari wa jeshi hilo walifika nyumbani kwake Dar es Salaam na kumkosa na baada ya kuambiwa yuko Dodoma wamefika katika viwanja vya mahakama wakisubiri amalize shughuli zake na kisha wamkamate.

Aidha Mhe. Lissu amelitaka jeshi la polisi na baadhi ya viongozi wa serikali kuacha kukamata wanachama na wafuasi wa vyama vya upinzani ambao wanafanya mikutano ya ndani ya yenye lengo la kuimarisha vyama vyao kwani huku kufanya hivyo ni kukiuka demokrasia.

Mpaka ITV inaondoka mahakamani hapo majira ya saa kumi na nusu ambapo shughuli za mahakama zilikuwa zimemalizika Mhe. Lisuu alikuwa bado amesalia ndani ya chumba cha mahakama akiwa na baadhi ya wateja wake

Chanzo: ITV
 
Ujinga Umekithiri
Si Neema ni Hatari
Umoja Ukashamiri
Wakajiita walutheri

Mwalimu alikemea Ukabila
Ili tusiishi enzi za Ukabaila
Wachaga kutaka kutawala
Wakaungana moja Kabila

Wakaanzisha na Chama
nacho wakakiita Chadema
Tukawaita Nyumbu mnyama
Kwa kupinga kila jema.

Halima na Tundu wakivuta zao Bangi
Matusi hadi kwa wenye hadhi ya dingi
Chama kinakufa kwa kuthamini shilingi
Akajiuzulu Slaa kwa kuiukwa misingi
 
Ujinga Umekithiri
Si Neema ni Hatari
Umoja Ukashamiri
Wakajiita walutheri

Mwalimu alikemea Ukabila
Ili tusiishi enzi za Ukabaila
Wachaga kutaka kutawala
Wakaungana moja Kabila

Wakaanzisha na Chama
nacho wakakiita Chadema
Tukawaita Nyumbu mnyama
Kwa kupinga bila Hekima.

Halima na Tundu wakivuta zao Bangi
Matusi hadi kwa wenye hadhi ya dingi
Chama kinakufa kwa kuthamini shilingi
Akajiuzulu Slaa kwa kuiukwa misingi

Haya unayoyasema yanaakisi Mwenyekiti wako wa Chama cha Makinikia
 
Dodoma: Askari kanzu wanamsaka Tundu lissu kwa udi na Uvumba, Wanataka kumkamata. Nahisi hii ni kutokana na matamshi aloyatoa hivi karibuni alipokuwa akiikosoa Serikali yaCCM.

Baada ya kustukia Mtego, Tundu Lissu ameapa kutokutoka nje, kama wanamtaka wamfuata ndani ya Mahakama wamkamate.

Huu hapa ni ujumbe katuma

"Tell members that there are police officers in plain clothes who've been sent to arrest me in the Dodoma Resident Magistrates Court where I'm representing clients in a court hearing since yesterday. Tell them I'm not going to go out of the courtroom. If I've to be arrested then it will be inside the courtroom. Send this to all our networks in and out of the country.."

My Take:

Utakaa ndani lakini mwisho wa siku utatoka. Hata Sadam Hussein alijichimbia lakini alitoka. Au tutakurushia bomu la machozi. Ukitoka unadakwa.
Wamtoe kwa nguvu chumba cha kesi sio ya kwake tu inayofanyika.Apishe kesi zingine zifanyike.Kama ana lolote alivyoligema atalinywa.Au wamwache hadi mwisho kesi ya mwisho ikimalizika vyumba vya mahakama vinapofungwa ambamo hatakiwi kuwemo mtu wamdake.
 
Ujinga Umekithiri
Si Neema ni Hatari
Umoja Ukashamiri
Wakajiita walutheri

Mwalimu alikemea Ukabila
Ili tusiishi enzi za Ukabaila
Wachaga kutaka kutawala
Wakaungana moja Kabila

Wakaanzisha na Chama
nacho wakakiita Chadema
Tukawaita Nyumbu mnyama
Kwa kupinga bila Hekima.
Unakemea ukabila,halafu wewe tena unatunga shairi la kunanga kabila moja kuwa ndio linamiliki chama cha siasa.Huu nao ni ukabila.

Hali hii walianzisha CCM,miaka na miaka,wakikiita Chadema chama cha kichaga,hii ikaonekana sawa,wakasema chama cha Kaskazini watu wakaona sawa.

Bungeni Mwigulu Nchemba akasema CHADEMA bungeni wamekaa kama ndugu wapo sebuleni wanakunywa chai,hii nayo ikapita.Huu ulikuwa ni "ukabila wa kitaasisi".

Lissu kaja na moja tu,hajahusisha CCM na ukabila,ila "mtu mmoja" na ukabila.Hii ni tofauti na wakati ule na sasa ambapo CCM na wapambe wao,wanaibeba CHADEMA nzima na ukabila.

Lissu kamtaja mtu mmoja tu,katoa na mfano wa namna anavyoendeleza ukanda na huo ukabila(Kwa mujibu wa Lissu)
 
Back
Top Bottom