Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Amani iwe nanyi watu wa Mungu! Kwa kipindi cha miaka 59 tangu uhuru, Tanzania imekuwa ikiongozwa na Chama cha mapinduzi. Katika miaka hii yote watanzania wamepitia mengi sana ila kila siku maisha...
49 Reactions
231 Replies
17K Views
Wagombea wa udiwani wa chama cha mapinduzi (CCM) katika Kata tisa kati ya 12 ambazo kura zimemaliza kuhesabiwa wametangazwa kushinda. Akizungumza na mwandishi msimamizi wa uchaguzi wa jimbo hilo...
6 Reactions
48 Replies
5K Views
The citizens of the United Republic of Tanzania will elect on 28 October their President, Members of the parliaments of the Union and Zanzibar, as well as local councillors. The European Union...
11 Reactions
68 Replies
7K Views
Ukweli mchungu ni kuwa shamrashamra zikishapungua, mwenyekiti wao bila kificho atawaambia kupitia umma kuwa sasa ni wakati wa kulipa fadhila. Haiingii akilini uwang'oe Mdee, Mbowe, Lema, Mbilinyi...
54 Reactions
115 Replies
10K Views
Hapo majuzi kuna wajinga walianza kulaumu wasanii wa Tanzania na kusifia wa Nigeria yani nikimsikia mtu huyo matusi yote duniani yatakuwa halali yake. Msanii hawezi kuanzisha maandamano bali...
2 Reactions
18 Replies
2K Views
Waliojiandikisha jimbo la Geita ni watu 148,360 Waliojitokeza kupiga kura ni watu 49,700 Watu zaidi ya 98,000 hawajapiga kura Uthibitisho ya kwamba, Watanzania walio wengi wamechoshwa na haya...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
CCM hawawezi siasa za ushindani, Wanachojua ni kutawala kwa mabavu. Kama CCM wangekua ni watawala wema, wangesikiliza matakwa ya wananchi kupitia uongozi wa mashina mpaka wabunge. Kinacho...
51 Reactions
129 Replies
9K Views
Nionavyo mimi miaka yote ya uchaguzi vyama hivi vimekuwa na kasumba ya kusubilia wagombea wazuri waliokatwa CCM hivyo kuwa mtaji mzuri wa kuwapatia vitu, Lakini mwaka huu imekuwa tofauti sana...
1 Reactions
10 Replies
1K Views
Mada Maalum itakayozungumzia ziara nzima kwenye mchakato wa kampeni za mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli na Mgombea Mwenza Mama Samiah Suluhu. Agosti 25...
11 Reactions
4K Replies
325K Views
Wakati wa kampeni Magufuli alisikika akisema, nileteeni diwani na mbunge wa CCM, alikua na uhakika wa ushindi wake. Yale aliyosema yote yametimia. Majimbo karibu yote ya Tanzania yame pata...
23 Reactions
74 Replies
8K Views
Uchaguzi umeisha baada Watanzania waliojiandikisha kutumia haki yao ya msingi tarehe 28 October 2020 kuchagua Viongozi kupitia sanduku la kura. Tayari matokeo ya Ubunge,Udiwani na Rais yameenza...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Awali ya yote, napenda kuchukua nafasi hii kumpongeza ndugu Bernard Camilius Membe na ndugu wakili msomi Tundu Antipas Lissu kwa kuaminiwa na kuteuliwa kupeperusha bendera za vyama vyao katika...
11 Reactions
103 Replies
8K Views
Dar es Salaam. Mkurugenzi wa Uchaguzi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), Dk Wilson Mahera amesema kuanzia leo usiku Jumatano Oktoba 28, 2020 tume hiyo itaanza kupokea matokeo ya kura za urais...
8 Reactions
69 Replies
11K Views
......YNWA..... Moderator FUTA HUU UZI. Please DELETE.
18 Reactions
56 Replies
6K Views
Wana bodi, Ni jambo la kushukuru kwamba tumeweza kupiga kura salama na kuendelea kupokea matokeo kwa utulivu. Vilevile ni vyema kuona kwamba wana siasa kwa kiasi ki kubwa, wameweza kuheshimu...
0 Reactions
0 Replies
594 Views
Matokeo ya Uchaguzi wa Tanzania yameanza kutoka tangu tarehe 29/10/2020 na Chama cha CCM kwa asimilia kubwa kinadalili ya kushinda ushindi wa kishindo. Vyama vya upinzani wakiwa wanabeza na...
0 Reactions
0 Replies
654 Views
Msimamizi wa Uchaguzi Jimbo la Tanga Mjini amemtangaza Mgombea Ubunge wa CCM kwenye Jimbo hilo Ummy Mwalimu kuwa Mshindi kwa kupata kura 114,445 sawa na 93.8% akifuatiwa na Mgombea wa CUF Mussa...
0 Reactions
17 Replies
3K Views
Tangu chaguzi za vyama vingi zianze tumezoea kuona wagombea urais wa upinzani ambao wamewahi kuwa wanachama wa CCM au TANU huko nyuma. Sina hakika kama huyu Tundu Lissu aliwahi kupitia chipukizi...
5 Reactions
77 Replies
8K Views
"SASA BASI" ndio kaulimbiu mpya ya CHADEMA kuelekea Uchaguzi Mkuu wa Oktoba, 2020 Tumeonewa sana, Tumenyanyaswa sana SASA BASI. Ngoja tuone. Inaonyesha dalili za kukata tamaa. Maendeleo hayana...
7 Reactions
50 Replies
5K Views
Ndugu Boniface Jacob usishangae sana, wala usione kama usaliti kuhusu pingamizi za wana ACT dhidi yako na wagombea nafasi zingine wa CHADEMA ndani ya Jimbo la Ubungo. Zitto analaumiwa bure tu kwa...
3 Reactions
33 Replies
4K Views
Back
Top Bottom