Hili ni swali kwa wahenga wa jukwaa hili la Siasa. Naomba pia ufafanuzi wake.
Ni Sura au Ibara gani ya Katiba ya JMT inayosema hivi: -
Serikali ina Mihimili mitatu.
1. Bunge -Parliament
2...
Watendaji wa Halmashauri hiyo Duni wanavamia Mashamba kunakovunwa mpunga huo ambao hawakushiriki kuupanda na kuanza kuhesabu magunia na kutoza kila gunia sh elfu 2
Ukiwa na Magunia 10 Shambani...
Inaumiza sana mtu kama Mdude, Soka, Kipanya, Lissu na wengine mmewafanyia ubaya kisa kulinda maslahi ya CCM ila walioanzisha mbegu ya ubaguzi wale Wazanzibari mmewaacha
Ndio maana mmepoteza...
Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba jana Juni 10, 2026 akizindua ghala la forodha, Chamwino mkoani Dodoma amesema ataendelea kukemea na kupinga kwa nguvu zote watu wanaochochea vitendo vinavyoweza...
Relationship between Tanzania and Singapore has significant strategic potential, even though it is not yet as deep or visible as Tanzania's relationships with countries such as China, India, or...
Jeshi la Polisi limemkamata na linamshikilia mtuhumiwa mmoja aliyetambulika kwa jina la James DamsonNgole (34) kwa tuhuma za kujihusisha na matukio ya utapeli huku akijifanya ni Afisa Usalama...
Mwendeshaji, Geeta Mohan
"We'll come back to your goals on Ukraine, but I'll have to ask you this, Madam President. Amid sanctions, you are wanting to do and increase business with Russia. How...
Tathmini ya utekelezaji wa mipango mitatu ya maendeleo ya miaka mitano imebaini mafanikio makubwa ya kiuchumi yaliyopatikana kupitia Mpango Elekezi wa Maendeleo wa Muda Mrefu (LTPP) 2025, hususan...
Leo, Juni 11, 2026, nchi wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) zinasoma bajeti zao za mwaka wa fedha 2026/27. Nchi hizo ni Tanzania, Kenya, Uganda, Rwanda, Burundi, Sudan Kusini, Jamhuri...
Bwana Bernard Camilius Membe, Mtu Maalumu kwa mikakati maalumu kwa lengo Maalumu (Mshauri mkuu wa masuala ya usalama wa Taifa na nchi kwa Jumla)
Ni wachache watakao kuwa wanajua nafasi yake...
Baada ya kukata majina na ukumbi wa Dodoma ukafurika vurugu na kelele
Kikwete aliingiwa na uoga akawasihi wazee waseme neno,
Wazee mbali mbali wakatoa maoni Ila ilivyofika Kwa Mkapa akakataa...
Kasema Robo tu ! Asee sema yote umekuwa kwa nafasi unayoaminika kuliko sisi anonymous! Na taarifa yako inasambaa zaidi
Sema pale Morogoro na Ruhangwa (Ruangwa) gari lililopaki kabla na kuweka...
Hisia zangu zinazonionesha kuwa Kassim Majaliwa Majaliwa anapwaya sana katika timu ya Mama Samia hazijaja bure, bali nimekuwa nikimtazama na kumfatilia sana utendaji wake katika hii miaka miwili...
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Mipango na Uwekezaji, Prof. Kitila Mkumbo, akiwasilisha Bungeni Taarifa ya Hali ya Uchumi wa Taifa kwa mwaka 2025 na Mpango wa Maendeleo wa Taifa wa mwaka 2026/27...
Yanayoendelea kwenye Mahakama ya Tanzania ni Aibu kwako binafsi na hata kwa familia yako, wakiwemo wazazi wako, hakuna tofauti na kuzaa mapooza
Ni aibu hata ya kijiji alichozaliwa na ni laana...
Haki ni haki, tena haswa inapokuwa ni haki ya kuishi. Hii ni haki maalumu ambayo huambatanishwa na damu. Unapomnyima mtu haki yake ya asili ya kuishi unakuwa umemgusa moja kwa moja yule...
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Mipango na Uwekezaji, Prof. Kitila Mkumbo, akiwasilisha Bungeni Taarifa ya Hali ya Uchumi wa Taifa kwa mwaka 2025 na Mpango wa Maendeleo wa Taifa wa mwaka 2026/27...
Akizungumza na wananchi mkoani Mbeya, Jacob amedai chama tawala cha CCM kimeweka mbele chuki na maslahi ya kisiasa na ya mtu binafsi kuliko ustawi wa nchi, akidai kuwa wako tayari kuona nchi...