Hivi na ninyi wamewatumia sms ya "TUNZA AMANI"?

TheForgotten Genious

JF-Expert Member
Joined
Jan 18, 2014
Posts
2,840
Reaction score
4,481
Wamenitumia sms ya kutunza amani na maneno kibao,sijui biashara nini na nini,makende ya fisi ninyi,ipo hivi mimi kutunza amani kwa serikali inayo dhurumu haki,uhai na usawa msahau,tarehe 7 ,ratiba zipo pale pale,nimeshakuwa mzoefu na shunting za maandamano,ni tifutifu,kama amani ni kutuletea viongozi madunga yepe sawa,other wise hell no!

Mpaka tuelewane,mpaka zile damu mlizomwaga oktoba zitendewe haki,mpaka ndugu zetu ambao hatujui walipo ijulikane,other wise acheni kukuna tako na kukata kucha kwa meno.

1783262369693.png
 
Attachments

  • Screenshot_20260705_173537_Messages.jpg
    Screenshot_20260705_173537_Messages.jpg
    92.5 KB · Views: 11
Wamenitumia sms ya kutunza amani na maneno kibao,sijui biashara nini na nini,makende ya fisi ninyi,ipo hivi mimi kutunza amani kwa serikali inayo dhurumu haki,uhai na usawa msahau,tarehe 7 ,ratiba zipo pale pale,nimeshakuwa mzoefu na shunting za maandamano,ni tifutifu,kama amani ni kutuletea viongozi madunga yepe sawa,other wise hell no!

Mpaka tuelewane,mpaka zile damu mlizomwaga oktoba zitendewe haki,mpaka ndugu zetu ambao hatujui walipo ijulikane,other wise acheni kukuna tako na kukata kucha kwa meno.
Wamkamate Sheikh Mwaipopo anayemiliki MAGENGE ya WAHUNI ambao wanataka kuvuruga amani.
 
Amani na kukubalika kwa wananchi hakulindwi kwa bunduki , huja bure tu bila ulazima huo wa kujaza mabunduki na askari barabarani kutisha watu.

Ingekua amani na kukubalika kunalindwa hivyo basi Iddi Amin , Bokasa , Mobutu, Gaddafi, Hosni Mubarak , Sadam Hussein na wengine wengi wangewatawala hadi siku wanakufa.
 
Wamenitumia sms ya kutunza amani na maneno kibao,sijui biashara nini na nini,makende ya fisi ninyi,ipo hivi mimi kutunza amani kwa serikali inayo dhurumu haki,uhai na usawa msahau,tarehe 7 ,ratiba zipo pale pale,nimeshakuwa mzoefu na shunting za maandamano,ni tifutifu,kama amani ni kutuletea viongozi madunga yepe sawa,other wise hell no!

Mpaka tuelewane,mpaka zile damu mlizomwaga oktoba zitendewe haki,mpaka ndugu zetu ambao hatujui walipo ijulikane,other wise acheni kukuna tako na kukata kucha kwa meno.

Mimi nimepata ya tunza HAKI NA AMANI
 
Samia ame-panic kishenzi!
Screenshot_20260616-171956~2.png
 
Hii ya Maandamano ni Miradi ya Watu Serikalini Serikalini. Wameshatengewa mafungu ya kufanya yote hayo.. Matumizi mabaya ya kodi za Wananchi. Mradi mwingine ulotengewa Mabilioni ya shilingi ni NEVER AGAIN Mradi ambao ulibuma baada ya CHADEMA kuanza Ziara. Walinunua tshirt, Saa, cover za simu mabango ya Never again wakasambaza Nchi nzima... Sijui ni never again kwamba hawataua tena, siwaelewi
 
watajua wenyewe
 
Back
Top Bottom