Katika hali ya kushangaza kiongozi mwandamizi wa Chadema anayegombea ubunge Ndg. John Mrema anaanza kampeni zake kwa kuomba achangiwe.
Najiuliza iwapo kiongozi huyu ambaye amepata neema nyingi za...
Habari za mda huu.
Corona ni hatari kufata taratibu zilizoweka na wizara ya afya kujilinda na kuwalinda tuwapendao.
Niende kwenye mada chap chap.
Kumpa kura yangu ni Big No!
Vipi wewe ndugu...
Wakuu Salaam,
Gazeti la Mwananchi limeandika ukurasa wa mbele kuwa ACT-Wazalendo kimepata viti vinne vya ubunge bila kutaja majimbo yenyewe.
Nauliza ni majimbo gani hayo ambayo ACT kimeshinda...
Wanaocheka wanaweza wakaja kulia baadae na wanaolia wanaweza wakaja kucheka vile vile, siku zote hata biashara ikikosa ushindani usitegemee huduma nzuri na ndio hivyo hivyo kukosekana kwa Upinzani...
Najua wapo wengi wanajiuliza mustakabali wa kisiasa katika miaka mitano ijayo na kubaki wakiumia tu. Wanaumia kutokana na ukweli kwamba, nafasi karibu zote za uwakilishi wa kisiasa, zimechukuliwa...
Asubuhi ya tarehe 28 October niliamka mapema tu nikiwa na furaha. Nilikua nimepanga lazima " Nikachinje" watu watatu kutoka chama kile "Cha Siku Zote". Kichinjio changu kilikua tayari tayari stand...
Kama tunavojua Rais wetu mpendwa ni Rais msikivu na mchapakazi, kila alichoahidi anajitahidi kukitekeleza, aliahidi kufikia 2020 Upinzani utakuwa umekwisha Tanzania, watu wengi hawakuelewa...
Kwa Mara ya kwanza katika historia ya upinzani mgombea urais Tundu Lissu ameshiindwa kutoa ahadi ya hata KM moja ya barabara.
Maoni yamekuwa mengi kutoka kwa wapiga kura huku wengi wakidai kuwa...
Rais wa zamani Silvestre Ntibantunganya ambaye ndiye Mwenyekiti wa ujumbe wa waangalizi kutoka Afrika Mashariki, amesema kuwa uchaguzi mkuu Tanzania ulifanyika kwa kufuata taratibu.
Ujumbe wa...
This is too much. Hata sisi wana-CCM hatujafurahia. Level ya ubunge ngoma ingeachwa fair at least tukawapata wabunge cream kutoka na upinzani. Ambao kwa ukweli wamekuwa na mchango mkubwa sana sana...
Wakuu,
Mada hii itakuwa na 'Updates' za Uchaguzi Mkuu 2020 kama yanavyotujia kutoka kwenu kutoka mkoa wa Dodoma. Ukiwa na taarifa yoyote ambayo ni ya eneo hili tafadhali usisite kuweka.
Mkoa wa...
Niliahidi kuwa nitarejea JF baada ya uchaguzi Tuonane baada ya uchaguzi Oktoba 28 kwenda viwanjani, maofisini, vijiweni, mashuleni, vijijini, nyumba za ibada, nikisafiri kwa usafiri wa jamii...
Yaani nasikiliza matokeo hapa nahisi kama roho inataka kutoka.
Chama chochote cha upinzani kupata hata kiti kimoja bungeni ni ndoto labda iwe kwa kuridhisha tu wanananchi kuwa kuna...
Nikiwa mwanaCCM kindakindaki nimepokea kwa furaha lakini kwa tahadhari kubwa haya matokeo ya Uchaguzi mkuu uliofanyika 28 Oktoba 2020.
FURAHA
Ni wazi Chama Cha Mapinduzi kilijikita kwenye kunadi...
Wakuu leo ndio hitimisho la kampeni nzito sana za Tundu Lissu zilizovurumishwa nchi nzima , kwa mafanikio makubwa sana , kwa tathmini ya Kisomi niliyoifanya Tundu Lissu anatarajiwa kushinda Urais...
Unaweza kusema kuwa KM wa CHADEMA ndugu John Mnyika aliona mbali sana na akaaumua kuachana na kugombea Ubunge.
Najiuliza:
¹.Je, aliridhishwa na kazi nzuri iliyofanywa na CCM jimboni kwake?
² Je...
1.Kususia uchaguzi wa serikali za mitaa uliofanyika 24 Novemba 2019.
Uchaguzi wa serikali za mitaa uliofanyika November 2019 ulikua msingi muhimu wa uchaguzi mkuu utakaofanyika tarehe 28 Octoba...
Askari walivyokamata mabegi ya kura zilizopigwa nje ya kituo na kutaka kupitishwa kwa njia za panya ndani ya vituo vya kupiga kura, wasema kuna defender limejaa mabegi ya kura kama hizo.
Hizo...
Wabunge wengi wameingia Bungeni 2015 kwa chain ya Mh Jakaya Kikwete na Mzee wetu Kinana. Kwa nature ya CCM ya sasa na Rais Magufuli (na kwa kuepuka aibu ya kukatwa) kwa ujumla hawa wafuatao...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.