Leo CCM wanalilia Maridhiano nini kimetokea.

Quinine

Platinum Member
Joined
Jul 26, 2010
Posts
25,169
Reaction score
60,528
Chadema ilishauri mapema kuwe na Maridhiano kabla ya uchaguzi CCM ikakataa, leo CCM wanataka kuridhiana nini na nani.

Viongozi wao wanazunguka mitaani wakiomba waridhiane wanaokota vijihabari na media uchwara kujaribu kulazimisha maridhiano.

Chadema wanasema, maridhiano ya kweli ni lazima,

Haki itendeke.
Uchaguzi urudiwe.
Samia aondoke kupisha uchaguzi.
Tume huru ya uchunguzi wa vifo vya oktoba 29.
Kesi za wafungwa wote wa kisiasa ikiwemo ya Lissu zifutwe.
Katiba Mpya.
Wauaji wa Mo29 wawajibike.

HLLNtaNW8AEMF6U.jpeg

HLNLY1wXUAAZp6y.jpeg
HLK05iGWsAA3Ajc.jpeg
 
Nani alimuua Mzee ALLY Kibao?
Yupo.wapi polepole?
D.soka yupo wapi?
Amory gwanda yupo wapi?
Liko wapi kaburi la ben sanane?
Tundu lisu ana makosa Gani hata akae jela muda wote huo Tena you mgonjwa?
Haki IPO wapi? Utu upo mnaohubiri nyie wauza nchi?
 
Chadema ilishauri mapema kuwe na Maridhiano kabla ya uchaguzi CCM ikakataa, leo CCM wanataka kuridhiana nini na nani.

Viongozi wao wanazunguka mitaani wakiomba waridhiane wanaokota vijihabari na media uchwara kujaribu kulazimisha maridhiano.

Chadema wanasema, maridhiano ya kweli ni lazima,

Haki itendeke.
Uchaguzi urudiwe.
Samia aondoke kupisha uchaguzi.
Tume huru ya uchunguzi wa vifo vya oktoba 29.
Kesi za wafungwa wote wa kisiasa ikiwemo ya Lissu zifutwe.
Katiba Mpya.
Wauaji wa Mo29 wawajibike.

View attachment 3611566
View attachment 3611552View attachment 3611551
Ujinga pro max
 
Ukiona kiongozi hashauriki na wanaomzunguka jua huyo sio kiongozi bali ni mamluki. Hata familia zetu baba au mama wanapata ushauri wa jambo toka kwa watoto wao na maisha yanasonga.
Ccm imekua ati there decisions are final kitawalamba tu. Ati wananchi hawana haki sasa utaongoza wanyama kama hutaki hao wananchi. Muungano ndo huu umechanika, wananch ndo hawa kutekwa kila kukicha, misaada ndo hii wamefungiwa na kublacklistiwa kusafari na bado hawajishtukii tu. Wamekerwa na huko wakashndwa kutatua hasira wanaletea wananchi bure kama sio kuotesha uasi nchini.
 
Chadema ilishauri mapema kuwe na Maridhiano kabla ya uchaguzi CCM ikakataa, leo CCM wanataka kuridhiana nini na nani.

Viongozi wao wanazunguka mitaani wakiomba waridhiane wanaokota vijihabari na media uchwara kujaribu kulazimisha maridhiano.

Chadema wanasema, maridhiano ya kweli ni lazima,

Haki itendeke.
Uchaguzi urudiwe.
Samia aondoke kupisha uchaguzi.
Tume huru ya uchunguzi wa vifo vya oktoba 29.
Kesi za wafungwa wote wa kisiasa ikiwemo ya Lissu zifutwe.
Katiba Mpya.
Wauaji wa Mo29 wawajibike.

View attachment 3611566
View attachment 3611552View attachment 3611551
Waridhiane na chawa wao kwanza
 
Uchaguzi urudiwe
Samia aondoke kupisha uchunguzi

Kwa mtu mwenye akili anaona tu apo wapinzani wamepuyanga iv ni raisi wa wapi afrika uliwai ona anarudia uchaguzi
Ni wap afrika uliwai ona raisi anaondoka kupisha uchunguzi
Izo ni pumba na haziwezi kutekelezeka na km ni vikwazo serikal iko tayar kwa vikwazo ila sio kusikiliza masharti yasiyo weza kutelezeka

Na ata tukiwekewa vikwazo watakao umia ni wananchi, Raisi na serikal yake sana sana wataongeza tu kiwango cha kuiba pesa walikua wanaiba elf10 sasa baada ya vikwazo wataiba elf50 kufidia vikwazo na thaman ya pesa itakayo shuka.

Sometime huwa naona wapinzani wa tz ni part ya Ccm maana wana kua na hoja ambazo ata haziwezi kutekelezeka.

Yote mlosema yanaweza tekelezeka ila hayo masharti mawili tunadanganyana akuna raisi wala serikal ya kiafrika ya kukubali mashart ya ivyo
 
Uchaguzi urudiwe
Samia aondoke kupisha uchunguzi

Kwa mtu mwenye akili anaona tu apo wapinzani wamepuyanga iv ni raisi wa wapi afrika uliwai ona anarudia uchaguzi
Ni wap afrika uliwai ona raisi anaondoka kupisha uchunguzi
Izo ni pumba na haziwezi kutekelezeka na km ni vikwazo serikal iko tayar kwa vikwazo ila sio kusikiliza masharti yasiyo weza kutelezeka

Na ata tukiwekewa vikwazo watakao umia ni wananchi Raisi na serikal yake sana sana wataongeza tu kiwango cha kuiba pesa walikua wanaiba elf10 sasa baada ya vikwazo wataiba elf50 kufidia vikwazo na thaman ya pesa itakayo shuka

Sometime huwa naona wapinzani wa tz ni part ya Ccm maana wana kua na hoja ambazo ata haziwezi kutekelezeka

Yote mlosema yanaweza tekelezeka ila hayo masharti mawili tunadanganyana akuna raisi wala serikal ya kiafrika ya kukubali mashart ya ivyo
 
Maridhiano tufanye wananchi na serikal maana hao chadema wao wanadai hawa kuandaa maandamano wala hawa husiki na maandamano ya oct 20

So kama ni malizoano tutanye wanachi na serikal

Shida yenu chadema mnataka fanya maridhiano ni haki yenu na nyie ndo mnapaswa kuridhiana na serikal,
 
Chadema ilishauri mapema kuwe na Maridhiano kabla ya uchaguzi CCM ikakataa, leo CCM wanataka kuridhiana nini na nani.

Viongozi wao wanazunguka mitaani wakiomba waridhiane wanaokota vijihabari na media uchwara kujaribu kulazimisha maridhiano.

Chadema wanasema, maridhiano ya kweli ni lazima,

Haki itendeke.
Uchaguzi urudiwe.
Samia aondoke kupisha uchaguzi.
Tume huru ya uchunguzi wa vifo vya oktoba 29.
Kesi za wafungwa wote wa kisiasa ikiwemo ya Lissu zifutwe.
Katiba Mpya.
Wauaji wa Mo29 wawajibike.

View attachment 3611566
View attachment 3611552View attachment 3611551
acha porojo na upotoshaji gentleman,

sema tu ukweli umepaliwa na falsafa ya 4rs za Dr.Samia Suluhu Hassan 🤣
 
Chadema ilishauri mapema kuwe na Maridhiano kabla ya uchaguzi CCM ikakataa, leo CCM wanataka kuridhiana nini na nani.

Viongozi wao wanazunguka mitaani wakiomba waridhiane wanaokota vijihabari na media uchwara kujaribu kulazimisha maridhiano.

Chadema wanasema, maridhiano ya kweli ni lazima,

Haki itendeke.
Uchaguzi urudiwe.
Samia aondoke kupisha uchaguzi.
Tume huru ya uchunguzi wa vifo vya oktoba 29.
Kesi za wafungwa wote wa kisiasa ikiwemo ya Lissu zifutwe.
Katiba Mpya.
Wauaji wa Mo29 wawajibike.

View attachment 3611566
View attachment 3611552View attachment 3611551
Mliambiwa kabla ya uchaguzi aendele kukaa madarakani zifanyuke reforms mkakata, maana mna dola, mkabambikia watu Kesi nako mkashindwa, na kuwekwa wazi mapungufu yenu
 
Chadema ilishauri mapema kuwe na Maridhiano kabla ya uchaguzi CCM ikakataa, leo CCM wanataka kuridhiana nini na nani.

Viongozi wao wanazunguka mitaani wakiomba waridhiane wanaokota vijihabari na media uchwara kujaribu kulazimisha maridhiano.

Chadema wanasema, maridhiano ya kweli ni lazima,

Haki itendeke.
Uchaguzi urudiwe.
Samia aondoke kupisha uchaguzi.
Tume huru ya uchunguzi wa vifo vya oktoba 29.
Kesi za wafungwa wote wa kisiasa ikiwemo ya Lissu zifutwe.
Katiba Mpya.
Wauaji wa Mo29 wawajibike.

View attachment 3611566
View attachment 3611552View attachment 3611551
Wanataka maridhiano bila kuwa accountable kwa yaliyotokea? Madudu na genocide waliyo commit?

Fuk that
 
Chadema ilishauri mapema kuwe na Maridhiano kabla ya uchaguzi CCM ikakataa, leo CCM wanataka kuridhiana nini na nani.

Viongozi wao wanazunguka mitaani wakiomba waridhiane wanaokota vijihabari na media uchwara kujaribu kulazimisha maridhiano.

Chadema wanasema, maridhiano ya kweli ni lazima,

Haki itendeke.
Uchaguzi urudiwe.
Samia aondoke kupisha uchaguzi.
Tume huru ya uchunguzi wa vifo vya oktoba 29.
Kesi za wafungwa wote wa kisiasa ikiwemo ya Lissu zifutwe.
Katiba Mpya.
Wauaji wa Mo29 wawajibike.

View attachment 3611566
View attachment 3611552View attachment 3611551
Marekani apige kwanza vikwzo ili wote tujue Beberu ni mmoja tu duniani
 
Back
Top Bottom