Kipenzi Changu
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 59,169
- 138,400
Hii ni kuzuia maneno ya chuki kutoka kwa raia.
SACP ni cheo; RPC mpya atatangazwaSACP mpya ametangazwa tayari?
Hawataki well wishes za askari mwenzao.View attachment 3612327
Hii ni kuzuia maneno ya chuki kutoka kwa raia.
Kufa kufaanaSACP mpya ametangazwa tayari?
Hailali. Kufa kufaana.SACP mpya ametangazwa tayari?
Chanzo cha chuki ni nani, kukomesha chuki kwa waliobaki watakapo maliza mwendo ni kutanguliza haki kwani hata bibilia inavifungu vingi vinavyozungumzia haki.View attachment 3612327
Hii ni kuzuia maneno ya chuki kutoka kwa raia.
Mungu ailaze roho yake alipopachagua marehemu. Kama alitenda dhambi mahali pale panafahamika,na kama alitenda mema pia mahali pake panafahamikaMungu amlaze mahali pema motoni
Iyo siku watu watakunywa mpaka wazime wasindikize usajiri mpya panapostahiliNawaza sana siku akiondoka mzee wa msoga, kizimkazi, bashite na viongozi wakuu wa vyombo vya ulinzi na usalama.
Huyu ni sehemu ya jeshi la wauaji walioua vijana wetu tare 19/10/2025 na kuendelea. Tunafurahi sana mashetani wanapokufa. Tunangoja tanzia ya Lucas MwashambwaView attachment 3612327
Hii ni kuzuia maneno ya chuki kutoka kwa raia.