John Mnyika: Taifa linaongozwa na sadist..

John Mnyika: Taifa linaongozwa na sadist..

Interest

JF-Expert Member
Joined
Apr 11, 2015
Posts
3,434
Reaction score
7,096
Ni maneno ya Mbunge wa Kibamba na kiongozi wa CHADEMA, John J. Mnyika.

Ametweet kwamba taifa linaongozwa na sadist. Sijui anamaanisha taifa gani ila huenda akawa anamaanisha Tanzania. Kwa maana hiyo, kiongozi wa taifa hili ni sadist!

Sadist ni neno la kiingereza linalomaanisha mtu ambaye furaha yake inapatikana pale anapowaumiza wengine. Ni kama katili fulani hivi anayeburudishwa na mateso ya watu wengine.

Si mara ya kwanza kwa Mnyika kutoa misemo ya alama kwa viongozi wa taifa hili. Itakumbukwa wakati wa Rais Kikwete alimuita Rais huyo Dhaifu bungeni na jina hilo likavuma mpaka sasa.

Hili sio tusi kweli?!
 
Mnyika always right on the money. He got it right both times. I remember the previous one(JK), about "being weak", and now jiwe being a sadist!

I would say he is right on both occasions.

However, none is a substitute for the other...sadism should not be a replacement for weakness.
 
Ni maneno ya Mbunge wa Kibamba na kiongozi wa CHADEMA, John J. Mnyika.

Ametweet kwamba taifa linaongozwa na sadist. Sijui anamaanisha taifa gani ila huenda akawa anamaanisha Tanzania. Kwa maana hiyo, kiongozi wa taifa hili ni sadist!

Sadist ni neno la kiingereza linalomaanisha mtu ambaye furaha yake inapatikana pale anapowaumiza wengine. Ni kama katili fulani hivi anayeburudishwa na mateso ya watu wengine.

Si mara ya kwanza kwa Mnyika kutoa misemo ya alama kwa viongozi wa taifa hili. Itakumbukwa wakati wa Rais Kikwete alimuita Rais huyo Dhaifu bungeni na jina hilo likavuma mpaka sasa.

Hili sio tusi kweli?!
Sadist is the best description of jiwe, EVER!
 
Sadist ni neno lenye fumbo zito sana. Ili mtu alielewe basi English Grammar iwe imelala vizuri kichwani.

Neno "Sadist" ni Etymology.
Limetokana na neno la Kifaransa "sadisme". Limechukua mzizi kutoka kwa mwandishi "Marquis de Sade", aliejulikana sana kwa ubingwa wake wa uandish juu ya maswala yanayo husiana na UHURU, miongoni mwa maandishi yake ni "Kupata Furaha/Amani/Utulivu kwa kutia maumivu watu wengine".
 
Back
Top Bottom