Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Waziri wa Kilimo, Hussein Bashe wakati anakabidhiwa Wizara ya Kilimo aliwakuta watanzania wananunua mchele Kilo 1,300 hadi 2,000 kulingana na ubora. Sasa hivi 2023 tunanunua kilo 3,500 ya Mchele...
13 Reactions
145 Replies
7K Views
Kwa mujibu wa Taarifa ya Fedha ya NSSF kufikia Juni 30, 2023! 1. Mikopo Miradi ya Serikali TZS 611bn 2. Mikopo kwa Wabunge TZS 1.2bn 3. Mikopo kwa Taasisi, Udhamini wa Serikali TZS 89bn 4. Mikopo...
0 Reactions
2 Replies
486 Views
"Tofauti na kipindi kilichopita, awamu hii ya Rais Samia tumeona watu wanaruhusiwa wanaandamana barabarani, mama ameruhusu na anawapa na ulinzi kwa sababu mama anajiamini, Mheshimiwa Rais Samia...
14 Reactions
181 Replies
11K Views
Labda tukiondoa Korea kaskazini, Tanzania inaweza ikawa nchi inayofuatia kwa kuwa na media ambazo kazi yao kubwa ni kumsifia rais. Ukiangalia magazeti karibu tote, radio na TV station yote ni...
0 Reactions
1 Replies
332 Views
1. Magufuli aliomba akafie nyumbani kwake, maana alisema hawezi kupona. 2. Alishangaa nilipomwambia sina mamlaka ya kuruhusu hilo. 3. Aliomba aitiwe Paroko wake, Pd Makubi na Kard. Pengo ambao...
26 Reactions
118 Replies
10K Views
Pamoja na kuwa na wabunge zaidi ya 300 Bungeni, lakini kutokana na CCM kuwa na uchakavu, bado kinamhitaji Humphrey Polepole kupokea Simu za wananchi, ili kiweze kuisimamia Serikali. AIBU SANA!!
15 Reactions
61 Replies
5K Views
Wakuu Kwema? Nimekutana na habari X huko inasema kutokana na Sera za PBS (Public Broadcasting Service) wanaofanya kipindi cha Royal Tour, Peter hakutakiwa kulipwa pesa yoyote kutoka serikali ya...
1 Reactions
5 Replies
741 Views
CCM sasa imetulia na Chama kimerejea kuwa kimoja baada ya ule mgawanyiko wa 2015 2025 Kazi imeshaisha sasa tunaangalia kuelekea 2030 Mungu wa mbinguni mbariki Dr Nchimbi
1 Reactions
7 Replies
659 Views
Rais ambaye ndiye mlinzi namba moja wa KATIBA ya nchi anasema ni KIJITABU.... na hakuna uwajibikaji wowote kwenye hilo (Ibara ya 26.-(1) Kila mtu ana wajibu wa kufuata na kutii Katiba hii nasheria...
6 Reactions
15 Replies
903 Views
Hivi karibuni waziri Bashe, ametoa kauli ya ajabu, kauli inayoashiria kukosa weledi na busara kama kiongozi. Nasema amekosa weledi, kwa sababu mawazo yake yameishia pale alipokuwa amesimama bila...
4 Reactions
25 Replies
1K Views
Naona vituo vya Radio eg Wasafi na magazeti kibao ziko dalili za kupokea mkwanja ili kumsifu hata asipo stahili Rais wetu? Sasa anapokosea nani atakuwa na uwezo wa kukemea atakaye. Hii ni aibu!
1 Reactions
14 Replies
632 Views
WanaJF, Yaliyosemwa na retired CDF kuhusu matukio yaliyotokea muda mchache kabla ya Magufuli kufariki miaka 3 iliyopita tumeyasikia. Baadhi ya matukio ni kikundi fulani kutaka katiba...
4 Reactions
21 Replies
975 Views
Majuzi nilibahatika kutembelea Kwala kule ilipotengenezwa bandari kavu na kukuta baadhi ya shughuli ndogo ndogo zikiendelea. Sasa kwa sababu nimekuwa ni mtu wa kupenda kujua vitu na kufanya...
1 Reactions
2 Replies
478 Views
Umoja wa Wanawake wa Tanzania (UWT) chini ya Mwenyekiti wake Ndg. Mary Pius Chatanda unapenda kuwatakia Uchaguzi mwema Wagombea wote wa nafasi za Udiwani wanaotokana na Chama Cha Mapinduzi kwa...
0 Reactions
7 Replies
740 Views
SERIKALI IMEJIPANGA KUFUNGUA MKOA WA LINDI KWA KUBORESHA MIUNDOMBINU: WAZIRI BASHUNGWA Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa, ameeleza kuwa Serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Rais, Dkt...
0 Reactions
5 Replies
757 Views
ASANTE DKT.JPM ,PONGEZI DKT.SAMIA Na.Amon Nguma. Tarehe 17 Machi mwaka huu wa 2024 tumetimiza miaka mitatu tangu kufariki Rais wa awamu ya Tano wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania...
0 Reactions
3 Replies
706 Views
Rais Samia Hassan amemteua Balozi Hussein Katanga ambaye ni Balozi wa Japan kuwa Katibu Mkuu Kiongozi akichukua nafasi ya Balozi Bashiru Ally ambaye ameteuliwa kuwa Mbunge. Rais Samia Suluhu...
34 Reactions
255 Replies
56K Views
Wabongo ni pasua kichwa sana Bashe anasema mchele uko kibao hakuna sababu ya kuchukua wa Msaada, anashambuliwa kila kona Dkt. Mwigulu alisema nchi inakopa kwa sababu ina uwezo wa kulipa...
0 Reactions
6 Replies
434 Views
Sijajua kama mafao ni Madogo au tatizo ni nini Kwa mfano Mzee Sumaye baada ya kustaafu Uwaziri Mkuu akaenda CHADEMA kuwa mwenyekiti wa Kanda ya Pwani na Mbowe akawa Boss wake Nadhani kwenye...
0 Reactions
1 Replies
367 Views
Angalau unafiki wa CCM kuliko unafiki wa hawa wapinzani... Hawajui wasimame wapi, wapo kwaajili ya kupinga na kukosoa tu, hata kama jambo ni la kheri, sijawahi ona wakihoji zaidi ya kupinga hoja...
1 Reactions
118 Replies
5K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…