ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 43,090
- 49,791
Jeshi la Polisi Mkoa wa Arusha, linamshikilia Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Mandeleo Mhe. Tundu Lissu pamoja na wenzake watatu wa Chama hicho kwa ajili ya mahojiano kuhusiana na tuhuma za kufanya mikusanyiko isivyohalali a kuwazuia Askari Polisi kutekeleza majukumu yao.
Baada ya mahojiano hayo na ukamilishwaji wa taratibu zingine, hatua nyingine za kisheria zitafuata.
IMETOLEWA NA:
JUSTINE MASEJO - ACP
KAMANDA WA POLISI
MKOA WA ARUSHA
===
My Take
Wale mlikuwa mnauliza sababu za Polisi Kumshikilia Lissu ndio hizo hapo wamezitoa.
Pia soma: Breaking News: - Tundu Lissu akamatwa na Polisi akiwa Ngorongoro hotel Wilayani Karatu