Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

WAZIRI WA ULINZI AFUNGUA KIKAO CHA BARAZA LA WAFANYAKAZI WA WIZARA YA ULINZI NA JESHI LA KUJENGA TAIFA - Asisitiza Umuhimu wa Mshikamano na Uwajibikaji. Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga...
0 Reactions
2 Replies
692 Views
Shehe huyu kutoka msikiti wa Madina ambao haukuweza kujulikana mara moja mkoa ulipo, amesikika akiongea kwa ukali sana akiwananga wale wote wanaomtukana mama kwa sababu ya kuuza bandari kwa...
14 Reactions
146 Replies
8K Views
Juzi niliona katika taarifa ya habari ya ITV wananchi wa vijiji mbalimbali bondeni mwa Bwawa la Mwalimu Nyerere wakihaha kuokoa maisha yao baada ya kuzingirwa na maji ya mto Rufiji. Hii inatokana...
13 Reactions
60 Replies
6K Views
Padri John Wotherspoon anayechapisha barua mbalimbali za wafungwa wa Kitanzania waliofungwa katika magereza ya Hong Kong baada ya kukamatwa na dawa za kulevya anafanya ziara nchini Tanzania...
54 Reactions
351 Replies
66K Views
Nitakuwa mchoyo wa shukrani na pongezi nisipoandika uzi huu wa kuwashukuru na kuwapongeza kwa dhati makada na viongozi wa CHADEMA kwa kukitangaza bure Chama Cha Mapinduzi kupitia majukwaa yao...
1 Reactions
31 Replies
2K Views
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Hussein Ali Mwinyi akizungumza katika Kongamano la Kiimani kwa Viongozi na Watendaji Wakuu wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar...
0 Reactions
0 Replies
503 Views
Leo kupitia magazeti nimekutana na habari isemayo walipa kodi waongezewe kodi kwenye laini za simu, kama alivyopendekeza mheshimiwa asiyelipa kodi kwenye mshahara wake. Mheshimiwa huyu ni...
21 Reactions
100 Replies
5K Views
Top most visited African countries by Tourists 1)- Morocco πŸ‡²πŸ‡¦ 13.2 million visitors 2)- Egypt πŸ‡ͺπŸ‡¬ 11.3 million visitors 3)- South Africa πŸ‡ΏπŸ‡¦ 11.5 million visitors 4)- Tunisia πŸ‡ΉπŸ‡³ 8.3 million...
8 Reactions
65 Replies
5K Views
Tangu mwaka 1995 Jimbo la Vunjo limepata kuongozwa na wabunge wafuatao:- 1. 1995 - 2000 Mhe. James Francis Mbatia (NCCR MAGEUZI) 2. 2000 - 2005 Mhe. Meja Jesse Jeremiah Makundi (TLP) 3. 2005 -...
0 Reactions
13 Replies
1K Views
Kuna yeyote anaweza kutukumbusha kuhusu CV ya Makonda? Alikwenda UDSM ,alikuwa kiongozi wa serikali ya wanafunzi,and what else? Tunaweza kuipata CV yake apart from his illustrious political career?
4 Reactions
49 Replies
3K Views
Kwema Wakuu! Kauli zinazotolewa na viongozi mbalimbali wakijitamba kuwa wao ni watoto wa mjini, wengine wakisema wamezaliwa Kariakoo, wengine, Ocean road, wengine mnazi mmoja, wengine Kinondoni...
7 Reactions
55 Replies
3K Views
Mh. Rais, Mfalme wa Jamhuri ya watu wa Moroko alitembelea Tanzania October 2016 ikiwa leo ni miaka miwili kamili na haya ndio alituahidi . King Mohammed VI of Morocco has accepted to build a...
5 Reactions
67 Replies
13K Views
Kumekuwa na Kauli kuwa WAHESHIMIWA SANA wa NCHI hii MASIKINI Wabunge wetu Wamejiongezea MISHAHARA Kimya Kimya. Baada ya habari hizi kuenea BUNGE lilikanusha na wadau walitaka BUNGE litamke...
2 Reactions
7 Replies
563 Views
Kwa msiojua OGP : The Open Government Partnership is a multilateral initiative that aims to secure concrete commitments from governments to promote transparency, empower citizens, fight...
2 Reactions
14 Replies
3K Views
Amosi Makalla Tangu kuteuliwa kwa Amos Makala kuwa Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Itikadi, Uenezi na Mafunzo akichukua nafasi ya Paul Makonda baadhi ya watu katika mitandao ya kijamii na...
0 Reactions
3 Replies
877 Views
Awali ya yote niwasalimu ndugu na wadau wa jamii forum ,pili nikushukuru wewe unaelisoma andiko hili tatu na mwisho nikuombe wewe ikiwa unaguswa na haya basi tumia nafasi ulio nayo bila kupima...
0 Reactions
1 Replies
649 Views
TCRA, BENKI KUU na idara zingine zinazohusika. Huu ni utapeli kwa hisani ya serikali kwasababu hawa watu wana vibali vya huduma hii toka BENKI KUU na idara zingine husika. Ukikopa wakati wa...
0 Reactions
20 Replies
2K Views
Haya ni mateso makubwa sasa tunayopitia Watanzania! Tunaishi utadhani tupo kuzimu? Ndugu Watanzania ninayo mengi sana kifuani kuwahusu wizara hii ya Nishati na uongozi wa awamu hii inayoshindwa...
2 Reactions
2 Replies
573 Views
Chama kinachoongoza kwa kuungwa mkono na watu wengi Nchini Tanzania , leo kimefanya Mkutano wa Hadhara huko Mbulu , kwenye Kata ya Mbulu. Mwenyekiti wa Kanda hiyo, Nabii wa Mungu Godbless Lema...
9 Reactions
45 Replies
3K Views
Nimeshangaa sana kiongozi mkubwa kutumia fedha kufanya ushawishi na kampeni wakati huo huo ulikuwa na nafasi ya kubadilisha maisha ya hao wanaopokea fedha hiyo kwa kuandaa mazingira rafiki ili...
1 Reactions
8 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…