Inaonekana kuwa nafasi ya mwenezi ndani ya lumumba ni kaa la moto.
DW wametoa kibonzo kuelezea mtazamo wao juu ya nafasi hiyo ndani ya chama hicho kikongwe.
Je, ni kweli hiyo ni nafasi nyeti...
Nadhani CCM hawakai kama Kamati katika kupendekeza, kuchambua na kupitisha nani awe nani ndani ya chama. Yawezekana maamuzi mengi hutegemea mahaba na mapendekezo ya mtu au kikundi cha watu...
Taarifa ikufikie popote ulipo kwamba ile Taasisi bora ya vijana barani Africa na ambayo ni Mtambo wa kuzalisha viongozi nchini Tanzania (BAVICHA) itaongea na Waandishi wa Habari kwenye ofisi ndogo...
Paul Alberto Bashite Makonda mwenyeji wa Koromije aliyehamia Dar ukubwani na kulelewa na Mwanasiasa fulani na baadae kwenda mkoani kilimanjaro kujisomea na kurudi Dar kwenye CCM inasemekana...
Anajua fika kuwa chama chake hata sheria zikawa kama zilivyopendekezwa na wadau wote, hawezi kupata wabunge/madiwani etc. Anajua Chadema kinaweza kuzoa viti vingi tu kwenye uchaguzi huru na haki...
Ni kama Tume ya Taifa ya Uchaguzi imesahau kuwa Kuna wapiga kura wapya wanaotakiwa kuandikishwa.
Wapiga kura wapya wataandikishwa lini au hakuna haja ya wao kuandikishwa!!?
Itakumbukwa kuwa, kabla ya zoezi la kukusanya maoni ya Katiba chini ya Warioba, Katiba hii ya 1977 ilitolewa copy na kugawiwa Kwa wananchi tuisome na kuelimishana vijiweni masokoni na sehemu...
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi amewataka wananchi kuzienzi na kuziendeleza fikra na falsafa za kimaendeleo na kizalendo za Marehemu Sheikh Abeid...
Baada ya serikali ya Mh. Kikwete kwa kushirikiana na jumuia za Kimataifa kupambana na ujangili sasa nchi ina tembo wa kutosha.
Sehemu nyingi za kusini mwa Tanzania walikozingukwa na hifadhi ya...
Kwanza kabisa ni kwamba mipango yote ya ccm inapangwa na watu walewale na kiukweli ccm haiwezi kutunza siri , taarifa ya Jokate, Mongella na Makalla nimevujishiwa jana saa 5 usiku, nilinyamaza tu...
Zitto Kabwe akiwa Naibu Katibu mkuu wa CHADEMA alikuwa na Sifa zote ambazo Mwenyekiti wa CCM Dr. Samia anatamami awe nazo Katibu wetu wa Itikadi na Uenezi (Kuamika, Kuwa na Taarifa, Maarifa na...
Rukwa. Katibu wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Paul Makonda amewaambia viongozi wa Serikali, wakiwamo mawaziri kuwa si lazima wampende.
Amesema akihitimisha ziara...
Na Mwandishi Wetu
Vunjo - Moshi
MBUNGE wa Jimbo la Vunjo Mhe Dkt Charles Stephen Kimei ametembelea Kata ya Kirua Vunjo Kusini na Kirua Vunjo Mashariki zilizopo tarafa ya Vunjo Magharibi kwa...
Msikilize Mbunge Mohamed Mchengerwa wa Rufiji kwenye hiyo video. Haya yanawakuta Watanzania wenzetu huko Rufiji. Huyu ni mbunge wa CCM anasema hivyo. Ina maana yamemfika shingoni na ni HATARI...
Ndugu zangu Watanzania,
Rais wetu mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mama Samia Suluhu Hasssan mama wa shoka,jasiri muongoza njia , simba wa nyika, komandoo wa vita, nyota ya...
Baada ya ziara ya Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM, ndugu Paul Makonda kufikia tamati huko Mkoani Mwanza, yapo maagizo halali ya Chama aliyoyaelekeza kwa Watendaji wa Serikali Mkoani humo...
Hii ndio Taarifa mpya inayozunguka duniani hivi sasa
Hili hapa ndio Tangazo la IDU
----
The IDU is pleased that Freeman Mbowe, CHADEMA Party Leader will join us at the #IDUForum2024 Asia-Pacific...
Wadau, amani iwe kwenu.
Nianze kwa kusema kuwa lengo la chama chochote cha siasa ni kutwaa dola. Chama cha siasa si kama chama cha Mpira wa miguu ama chama cha kuimba muziki wa singeli. Kwa maana...
Kesho ndugu yetu Paulo ataapa kushika nafasi ya Mkuu wa Mkoa wa Arusha.
Jitihada zinafanyika kukusanya magari ya kukodi huko Arusha ili apokewe na msafara mrefu pale atakapokaribia kuingini...
Kwa vyovyote vile hakuna duniani mtu mwenye uwezo wa kurekebisha Historia. Kwa ivo hawa ndiyo walikuwa marais wetu na Samia ndiye Rais wa Tanzania kwa sasa.
Kwa mtazamo wako hawa ukiwaweka kwenye...