olmo
JF-Expert Member
- Jun 21, 2026
- 318
- 621
Issue ya Mwalimu mchezaji inaweza ikawa muhimu kwa siasa zetu watu wamepanga kunufaika nayo, kumbukeni wiki hii ndio kuna deadline fulani hivi, na uhakika mnaijua lakini pia kuna kesi muhimu sana mahakamani inaendelea.
Sasa kwa vile simba na yanga ndio maradhi mojawapo yaliyotutia ulemavu wa kichwa watanganyika, basi kuna asilimia chache huenda kundi moja limekatwa lijadili ya sele mwalimu wiki hii ili pressure isiwe kubwa sana.
Hivi unawezaje kumkuza sele mwalimu kwa kiasi hiki?
1.Je aliwahi kuwa mchezaji kwenye kikosi cha kwanza kwenye timu ailizopita?
2. Aliwahi kuwa mfungaji,hata namba tatu kwenye ligi alizocheza?
Ndugu zangu watanganyika nimewaza tu, lakini hizi timu mbili tukiamua tuziblock hata kwa mwezi mmoja tusipokee hata sms kutoka kwenye hizi timu, tunaweza kuona utupu wa mtu mzima! 🫢🫢🫢🫢.
Hivi visemaji viwili na Hersii vinaweza kuwa vinatumika kwa wiki hii!
Na kama ni hivo kina manara, sijui kina nani kila siku wanajifanya watu wa mpira na mpira unahitaji watu waje wakuone ukicheza bila watu huwezi kucheza mpira. Sote tuliona kipindi cha covid soka lilipoa sana. Aya kama hawa watu wa mpira wanatupenda na wanataka tuwe salama tukawasapoti kwanini hawatutetei hata kidogo? Kama hawafanyi hivo basi ni wanufaika 100%. Titilaa sijui na nani huyo mwashambo karibuni mchafue uzi wangu.