Profesa wa kiswahili, sheria anadandia dandia tuAbdallah jumbe Safari, profesa wa sheria na mwanasiasa mwandamizi.
Amestaafu siasa.
Profesa wa kiswahili, sheria anadandia dandia tu
Hakika, ANATANIA!Nadhani unatania kwa hiki ulichoandika na hauko serious.
Mzee ni mchapakazi haswaYupo nyumbani kwake Kijitonyama kwa Ali Maua
Huna akili unafikiri viongozi wa Chadema kutegemea chama katika maisha yao kama ilivyo hao mazezeta wa CCM. Profesa Safari ni mtu mwenye shughuli zake nyingi tu za kumuingizia kipato wala hana njaa.Chadema hutelekeza viongozi wao,safari wameshamsahau
Afrika nzima ipo hivi,ni mbinu tu za kubadilishana wezi kupitia chaguzi2015 iliwafungua macho wengi, ndio maana wengi wanaojielewa wakaamua kuondoka tu.
Tanzania hakuna mfumo wa vyama vingi. Siasa zetu ni kama Urusi na Korea kaskazini.
Nyumbu mko vizuri kwenye matusi,Prof itakuwa kakuoa,mwenzio mjanja alivyoona manyumbu mnaibiwa ruzuku na pesa za join the chain akaona bora ajiandikie vitabu tuu,Safari aliachana na siasa za Sultan Mbowe tangu Bilionea Lowasa akinunue chama cha dema kwa muda.Huna akili unafikiri viongozi wa Chadema kutegemea chama katika maisha yao kama ilivyo hao mazezeta wa CCM. Profesa Safari ni mtu mwenye shughuli zake nyingi tu za kumuingizia kipato wala hana njaa.
Nimeamua kukupuuza.Nyumbu mko vizuri kwenye matusi,Prof itakuwa kakuoa,mwenzio mjanja alivyoona manyumbu mnaibiwa ruzuku na pesa za join the chain akaona bora ajiandikie vitabu tuu,Safari aliachana na siasa za Sultan Mbowe tangu Bilionea Lowasa akinunue chama cha dema kwa muda.