Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Kuna kitu hakipo sawa ndani ya CCM ya Samia. Nguvu inayotumika kusema fomu ni moja tu ya mgombea urais mpaka anachangiwa pesa sio ya bure. Mange alipost matusi ya nguoni kwa Rais kisha akaambiwa...
8 Reactions
84 Replies
8K Views
ACT Wazalendo tunalaani matukio ya Jeshi la Polisi kuvamia wananchi Mkoani Kigoma. Chama cha ACT Wazalendo kupitia Sekta ya Mambo ya ndani ya nchi inalaani kwa nguvu zote kitendo cha Jeshi la...
1 Reactions
2 Replies
801 Views
Katika hafla ya kumbukizi ya siku ya kifo cha Sokoine leo, Makonda amesema tarehe 15 April atawataja hadharani anaowatuhumu kufadhili wanaomtukana rais mtandaoni. Kwamba anawajua na baadhi yao ni...
1 Reactions
33 Replies
3K Views
Mkataba umesainiwa kwa vishindo na vigelegele ili uwanja wa ndege wa Mwanza uanze kujenga kwa kile kilichosemwa na Mkurugenzi wa TAA kwa dharura iliyopo hapo uwanjani kuboresha huduma. Magreda...
1 Reactions
4 Replies
854 Views
Nchi ya one man show. Haya yalianzia kwa Kikwete, akaja Magu akayapalilia, na sasa Mama ndo imekuwa mwongozo rasmi. Hakuna anayeheshimi Katiba na Sheria tena. Rais amekuwa ndiye Katiba, Sheria...
19 Reactions
100 Replies
5K Views
Kweli upo wa CCM kuhusu jambo hilo, lakini hakuna sababu ya kugombana na watu wanaoutaka urais. Achilles heel ya Rais Samia ni kwamba anakopa sana hela, watu wanaishi beyond their means. Hizi...
8 Reactions
38 Replies
2K Views
Huenda Makonda alikuwa na nia nzuri ya kutaka kulinda hadhi ya Mh. Rais kwa kuwakemea wanaomtukana. Alichosahau ni kuwa kumbe yeye ndo kamtukana tusi baya hadharani. Yaani Makonda ameuambia umma...
7 Reactions
55 Replies
3K Views
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Samia Suluhu Hassan amekabidhi kiasi cha shilingi Milioni kumi kwa Msanii wa Taarab Zanzibar Bi Mwanahawa Ali ikiwa ni sehemu ya kumfariji na kumsaidia...
5 Reactions
11 Replies
2K Views
Natafakari simulizi hii aliyoitoa Mstaafu Kikwete pale Lupaso wakati wa kumuaga hayati Mwinyi Halafu Leo kuna mawaziri wanamtukana Rais Bure kabisa hawa vijana 🐼
11 Reactions
54 Replies
4K Views
TANESCO yakemea upotoshaji kuhusisha mafuriko Pwani na JNHPP DODOMA: SHIRIKA la Umeme Tanzania (TANESCO) limefafanua kuwa Mradi wa Bwawa la Kufua Umeme la Julius Nyerere (JNHPP) limechangia kwa...
2 Reactions
12 Replies
1K Views
"Lengo la ziara yetu ni kutazama tena, kuhuisha mwamko ndani ya chama chetu na ndio maana kazi ya kwanza tumefanya katika eneo hili (Mpanda/Katavi) ni kwenda kwenye shina namba tano (5) ili...
2 Reactions
4 Replies
590 Views
Naomba ushauri nmana bora ya kukutana na Waziri yoyote ninayemuhitaji
3 Reactions
9 Replies
827 Views
“Sitaki kuamini kwa wasomi kama wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam na vijana wengine wa Kitanzania kama sisi tunaojitambua na kujielewa, tutashindwa kuifuatilia historia ya nchi hii (Tanzania), na...
0 Reactions
2 Replies
542 Views
Wasanii wa muziki na vyombo vya habari vimefanya mkesha wa Mwenge kuwa kama FIESTA. Wakuu wa wilaya na Mkoa wanatoa wapi fedha za kuwalipa wasanii wakubwa kwenda kutoa burudani usiku kucha kwenye...
2 Reactions
1 Replies
476 Views
Benki wanaweka utaratibu wa taarifa kwa umma ikiwemo kupitia mfumo na kukumbusha kama kuna deni, kuna huduma mpya au chochote cha kukuweka karibu nao. TRA na Mamlaka za maji wanakutumia ujumbe...
1 Reactions
3 Replies
499 Views
Nchi ya Rwanda chini ya Kagame imekua kwa muda mrefu ikishutumiwa kukisaidia kikundi cha kijeshi cha Watutsi cha M23 kinachotaka kulidhibiti jimbo la kivu mashariki ya congo. Rwanda imekua...
2 Reactions
7 Replies
1K Views
Natoka Mwanza, kutoka Kibaha hadi Kimara nimeona tayari vituo zaidi ya Nane vya Mafuta vimejengwa kwenye hifadhi ya barabara. Ninaamini hivi vituo havikuwepo kwenye ramani ya barabara kwa wingi...
4 Reactions
7 Replies
1K Views
Serikali ina bajeti iloyotengwa ya kufanya sherehe za kumbukumbu za vifo kwa viongozi wa taifa waliofariki ? Ni viongozi gani waliofariki ambao wanakidhi vigezo vya kufanyiwa kumbukumbu za...
2 Reactions
7 Replies
789 Views
Nimeona clip ya askofu Mwanamapinduzi akihutubia wananchi katika mkutano ulioandaliwa na Bavicha wilayani Rufiji Kule X kwa Twaha Mwaipaya Askofu anasema Ujenzi wa Bwawa la Nyerere umetumia...
7 Reactions
141 Replies
6K Views
“Ukiangalia taarifa ya watazamaji wa uchaguzi wa kitaifa na kimataifa tangu mwaka 1995 wote wamesema Tume ya Taifa ya Uchaguzi siyo huru, na wamesema siyo huru kwa sababu, moja ni tume ya Rais...
18 Reactions
89 Replies
6K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…