Tunapoelekea uchaguzi Mkuu kuna mambo mengi yameanza kujitokeza na yatajitokeza zaidi kadri muda unavyozidi kwenda kwenye mchakato mzima mpaka siku ya kupiga kura na hata wakati wa matokeo na...
Kuna katabia ka watanzania kuwaonea wivu wazawa na kuwakumbatia wageni. Uwekezaji wa Dangote mtwara unanipa maswali mengi hasa kiasi cha ardhi aliyomilikiwshwa hekari 700 kujenga kiwanda na 2500...
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
Assalaam alaykum warahmatullahi wabarakaatuhu
Baada ya kumshukuru Mwenye ezi Mungu na Kumtakia rehma na amani kiongozi wetu Bwana Mtume Muhammad S.A.W.
Tunapenda...
Nasikitika sana kwa aina ya maswali wanahabari wetu kuyauliza pindi wanapokutana na viongozi wa kuu wa taifa letu.
Mara nyingi huuliza maswali dhaifu, mepesi na pengine wanayo majibu ama...
Farhia Middle katika kipindi cha Dakika 45 ITV alikuwa anamuhoji Warioba kuhusu miaka 60 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar.
Katika mahojiano hayo Farhia alijitahidi sana kumuondoa katika hoja...
Zipo tetesi zinazagaa kuwa baada ya Rais kuona upotevu mkubwa wa mapato kuna uwezekano mkubwa wizara ya fedha akaikamata mwenyewe.
Pamoja na hayo yapo niliyojiuliza kwa tetesi hizi,Je,Kama ikawa...
TUNAWEZA kuifananisha hotuba ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa John Pombe Magufuli [JPM], ya kufungua rasmi Bunge jipya la Jamhuri ya Muungano mjini Dodoma, 20 Novemba mwaka...
SERIKALI ya Ujerumani imetangaza kuongeza kiwango cha ufadhili kwa Wakimbizi wa Burundi wanaoendelea kuingia nchini kwa kasi, kutokana na mkwamo wa kisiasa uliopo nchini humo.
Ujerumani...
Dr Slaa alisema kumkaribisha Lowassa Ukawa ni sawa na kuchukua "kinyesi" ukapeleka chumbani! Bila shaka pamoja na hasira za kukosa urais alitaka kuwaaminisha watanzania jinsi gani anauchukia...
Mfumo unaundwa na watu,mfumo ukikomaa huwafanya watu wale waliouunda mfumo ule kuishi kwa kadiri mfumo unavyotaka.Kuubadili mfumo huo inahitaji watu tofauti kabisa ya wale waliounda mfumo wa...
Rais wa Zimbabwe, Robert Mugabe, amewataka wanasiasa kukoma mara moja kugombania kuhusu nani atamarithi.
Rais huyo mwenye umri wa miaka 91, amesema hayo katika kongamano la kila mwaka la chama...
Magufuli angekuwa maarufu ndani ya muda mfupi, angekuwa nuru ya Africa, na angetambulika duniani kwa sifa njema.
Wananchi bila kujali itikadi walimpenda, na wangempenda zaidi na zaidi...
"Je, ni lini Serikali itapeleka fedha za kutosha kukamilisha kituo cha Afya cha Ngimu katika Jimbo la Singida Kaskazini" - Mhe. Aysharose Mattembe, Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Singida...
"Serikali ina mkakati gani wa kuunga mkono juhudi za Wananchi wa Kata ya Mmbebe kukamilisha ujenzi wa kituo cha Afya" - Mhe. Juliana Daniel Shonza, Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Songwe
"Serikali...
Wakuu,
Wewe mbunge unajua upo hapo kuwakilisha wananchi, au unawakilisha kundi fulani kama watu wenye ulemavu nk, lakini mwanzo mwisho mama ametenda hiki, mama ametenda kile, hakuna kama yeye...
Maneno mengine mtatia wenyewe ila nimefikisha ujumbe na mjumbe hauwawi 👇👇
==
Alichokisema: Kujiunga ndani ya chama cha mapinduzi, haujamsaliti Mungu. Wote ambao hawana kadi za CCM wamemsaliti...
Na Emmanuel Magira BHRM‐Mzumbe,
Kwa miaka kadhaa sasa, tumeshuhudia kampeni nyingi sana, za kuwapongeza viongoz wa nchi katika kutimiza majukumu yao. Mfano kama CCM wanavyofanya kumpongeza...
Ni Mwanasia machachari wa Kanda ya Ziwa aliyewahi kuvuma sana wakati huo.
Ametoa ufafanuzi wa kina na maelezo zaidi kuhusu sida bora za Tumee Huru ya
uchaguzi.
Katika maelezo yake amesema Nchi...
Anaandika Yericko Nyerere
Wengi mmeomba nitoe maoni yangu kuhusu kauli za mtu anayejiita Paulo Makonda kwamba kuna mawazi wanawalipa watu ili kumtuna Rais na kwamba mawaziri hao wana wawatu...
Salaam
Dunia inapambana kutatua vikwazo vya biashara,uwekezaji na mitaji..Hapa kwetu kumekuwa na jitihada nyingi Za kukuza uchumi kupitia mikakati mbalimbali ya kuwezesha wafanya biashara na...