Mfumo unaundwa na watu,mfumo ukikomaa huwafanya watu wale waliouunda mfumo ule kuishi kwa kadiri mfumo unavyotaka.Kuubadili mfumo huo inahitaji watu tofauti kabisa ya wale waliounda mfumo wa awali.Unaweza kutumia mawazo hayo katika mazingira yako unayoishi na kuona ukweli au ni uongo