Kibo10
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 11,278
- 8,868
Zipo tetesi zinazagaa kuwa baada ya Rais kuona upotevu mkubwa wa mapato kuna uwezekano mkubwa wizara ya fedha akaikamata mwenyewe.
Pamoja na hayo yapo niliyojiuliza kwa tetesi hizi,Je,Kama ikawa hivyo nani atasoma bajeti bungeni?
Pili nani atajibu maswali ya wizara hiyo bungeni?Kama naibu wake akiwa na dharura
Wajuwaji naombeni tafsiri ya jambo hili kama tetesi hizi zina ukweli.