Tlaatlaah
JF-Expert Member
- May 18, 2023
- 9,925
- 13,382
Taarifa za chini ya capet ni kwamba, taratibu za awali zimeshakamilika ikiwa ni pamoja na jina la chama, rangi za chama, nembo pamoja na logo ya chama. Majibu ya msajili yatatoa uelekeo.
Nyuma ya mpango huu, viongozi waandamizi kutoka vyama mbalimbali vya siasa, wanatajwa kuhusuka ikiwa ni pamoja na kutoka chama kikuu cha upinzani, act, lakini pia chama kutoka chama tawala, na vyama vingine vya kisiasa nchini.
Let's wait and see as we are approaching elections ahead 🐒
PIA SOMA
- Sarakasi za NCCR MAGEUZI: James Mbatia avuliwa Uanachama
- Msajili wa Vyama abariki Mbatia kufukuzwa NCCR Mageuzi