Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 141,540
- 284,043
Huyu kijana alikuwa Makamu Mwenyekiti wa UVCCM , akafanyiwa figisu mbaya sana na kunusurika kutekwa .
Baada ya miaka mingi kupita hatimaye leo amechaguliwa kuwa Mjumbe wa Mkutano Mkuu wa CCM Taifa kutokea Moshi Mjini .
Baada ya miaka mingi kupita hatimaye leo amechaguliwa kuwa Mjumbe wa Mkutano Mkuu wa CCM Taifa kutokea Moshi Mjini .