Ushahidi aliotoa Luhaga Mpina ni mzito sana tena umejaa reference nyingi tu.
Nilitegemea wanahabari wajuze umma kama jinsi ambavyo Luhaga kaelezea,lakini kuna nguvu kubwa inatumika kulizima jambo...
SHURA YA MAIMAMU TANZANIA
MASHEIKH WALIOCHUKULIWA NA POLISI MAHAKAMANI JANA WAMETOLEWA LEO 5/6/24, ALASIRI KWA DHAMANA.
(HAWAKUELEZWA DHAMANA YA TUHUMA GANI, MAANA WAMESHINDA KESI NA KUACHIWA...
Huenda hotuba hii ya Askofu Mwanamapinduzi ndio chanzo cha yeye kukamatwa na Polisi.
=======
Askofu Machumu: Chini ya Serikali ya mama Samia Suluhu Hassan, yeye ndio ameamua rasmi kuiuza...
Wanabodi,
Haya sii maneno yangu bali ni paraphrasing from ushauri wa mwana Jf humu.
Angalizo kuhusu paraphrasing.
Ni editing tool inayotumiwa na ma editors ku summarize long speeches kwa kufanya...
Na. M. M. Mwanakijiji
Sielewi kwanini serikali inapojaribu kusimamia mabadiliko na nidhamu katika utumishi wa umma inajigongelea misumari yenyewe. Ninavyoona ni sawa na fundi seremala mashuhuri...
Ukiangalia mikataba mingi anayoingia Rais Samia na anaowaita Wawekezaji mingi ni ya muda mrefu.
Mikataba ya aina hiyo ilipata kuingiwa pia kipindi cha utawala wa Mzee Kikwete.
Ikumbukwe mikataba...
Bila unafiki, ushambenga, uchawa na ukurung'unzu wowote. Nasimama kusema katika umri wangu spika Bora niliyewahi kumuona na kumkubali alikuwa Samweli Sitta mzee wa viwango! Lakini kwa sasa nchi...
Hayati Julius alijikita zaidi kuwakomboa Wazimbabwe na Waafrika kusini akasahau kujenga nchi yake.
Hayati Mwinyi akaruhusu ufisadi na kila namna ya upigaji.
Mkapa akajitahidi kidogo kukusanya...
ni Chama Cha Mapinduzi CCM.
Sera zake za kusisimua na kuimarisha uchumi bado zinahitajika na kuaminika zaidi ndani na nje ya nchi, kwani kwa kiasi kikubwa zimebadili hali ya vipato na kuongeza...
Watanzania tufunge na kusali huyu mama nawaambia miradi yote ikiish a iliyopo NI kudra ya mwenyezi mungu ! NI mama asiyejali na ameziba masikio watu wanaiba yeye ameziba masikio Tu! Tuseme kwa...
Ndugu zangu Watanzania,
Rais wetu mpendwa Anaendelea kukonga na kukosha mioyo ya watu mbalimbali na mataifa mbalimbali, kutokana na uchapakazi wake pamoja na mapinduzi na mabadiliko mbalimbali...
Ndugu zangu Watanzania,
Mkuu wa mkoa wa Dar Mheshimiwa Albert Chalamila Amesema ya kuwa yeye binafsi alishaacha masuala ya ubabe kabisa.
Ameyasema maneno hayo mbele ya Rais wetu mpendwa na...
Akizungumza mbele ya Maelfu ya wananchi huko Itigi, Tundu Lissu, huku akijiamini kupita kawaida, amesema kwamba, baada ya Rushwa hiyo Kabambe, Wafanyabiashara hao wakaruhusiwa kuongeza shilingi...
Hebu tuangalie halafu tusaidiane
Pikipiki zimeandikwa SSH2025 na zina picha yake, hatujaanza kampeni, mama ameanza kampeni zaidi ya mwaka na nusu kabla ya uchaguzi. Kama ameanza yeye na sisi...
1. Nitashangaa kama CHADEMA watashiriki tena uchaguzi ili waje kulalamikia tena Tume na Wasimamizi wa uchaguzi
(Wakurugenzi wa Halmashauri).
2. Hivi hamna strategy ya kufanya mchakato wa Katiba...
Salaam Wakuu,
Nadhani mtakubaliana nami kwamba hawa ni miongoni mwa Mawaziri wanaofanya vizuri.
Juma Aweso, Dorothy Gwajima na Dotto Biteko, ndo aina ya Mawaziri Tanzania inataka kuwaona...
Spika wa jamhuri ya muungano wa Tanzania DR.Tulia Ackson afahamu kuwa ushahidi na nyaraka alizozipata mpina hajazitafuta yeye mwenyewe Bali kuna watu wapo nyuma yake wamechoshwa na wizi unaofanywa...