Tundu Lissu akiendeleza ziara yake mkoa wa Singida katika kijiji Nkungi wilaya ya Mkalama ameendelea kutoa elimu ya Urais.
Lissu amesema
"Ukandamizaji ni mfumo pacha na unyonyaji, nchi hii sio...
Nauliza tu kwa wale Wahenga wezangu nini ilikuwa nguvu ya Azimio la Arusha hadi viongozi wakaliogopa kweli kweli
Je, lilikuwa na nguvu kuliko Katiba ya Tanganyika/Muungano?
Nimekaa pale 🐼
Teknolojia imekimbia na inaendelea kukimbia kwa kasi kubwa.
Kazi kubwa na maboresho makubwa yamefanyika kuhakikisha TANESCO inatoa huduma bora.
Ni muda sahihi kwa sasa mtu ukinunua umeme uingie...
Naomba kukana kutumika kwa hii tathmini yangu ninayoenda kuisema hapa bali ni kwa uhuru wangu wa kutoa maoni na utimamu wangu wa kuweza kuona na kutambua mema na mabaya.
Ni hivi wakuu, mimi kwa...
Salaam, Shalom!!
Akiongea kupitia press aliyoitisha nje ya Bunge amedai kuwa UMOJA wa Afrika haupasi kuzisimamisha uanachama Nchi 6 zilizopindua Serikali zao kwa sababu Watawala waliopinduliwa...
Wazanzibari walipoweka sharti la "Mzanzibari mkazi" kwa kila anayetaka kuwania nafasi yoyote nchini kwao hawakuwa wajinga. Walifanya hivyo ili kulinda maslahi ya nchi yao, wakiamini kwamba...
Baadhi ya wanachama wa Chadema akiwemo Kamanda Maranja wamesema wanashangaa kuona TV za CCM zikijazana nyumbani kwa mchungaji Msigwa kuripoti Mkutano wake
Maranja amesema TBC, Channel ten, Ayo TV...
Nahisi tatizo lako ni kumuunga mkono Tundu Lissu ndio sababu ukaletewa bilionea akung'oe.
Wewe ni mtoto wa Kimasikini hizo siasa hutaziweza njoo CCM upate pumziko la kweli la kisiasa.
Mbowe...
Mamia ya wananchi wamemiminika katika viwanja vya Ofisi za Halmashauri ya jiji la Dodoma kutatua madhila ya ardhi yanayowakabili ili watumie ardhi na muda wao kwa shughuli za kiuchumi kujiletea...
Makamu Mwenyekiti wa Chadema Tundu Lissu anaendelea na ziara zake huko vijijini, kwa lengo la kuelimisha Wananchi kuhusu masuala mbalimbali.
Leo ilikuwa kijiji cha Ibaga ambako wananchi...
Wadau nawasalimu.Wakati TEC wametoa WARAKA BORA kuhusu Sakata la BANDARI kuna Watu Walijitokeza Majukwaani na kwenye Mitandao ya Kijamii kuwakejeli TEC kuwa Wanachanganya DINI na SIASA jambo...
Mheshimiwa Spika, awali ya yote nianze kwa kumpongeza Waziri wa Ujenzi, Mhe. Innocent Lugha Bashungwa (Mb) kwa uwasilishaji wake mzuri wa hotuba yake ya Bajeti ya Wizara ya Ujenzi kwa mwaka...
Binafsi nimefarijika Wasanii wetu kupelekwa Korea Kusini kujifunza mambo ya Sanaa za Uigizaji
Ukiangalia Tamthilia zetu na Sinema zimejikita katika mambo ya kipuuzi tu hasa Mapenzi na zote...
Ni vigumu kueleza tukaeleweka, bali unachotakiwa kufahamu ni kwamba wakati wao wanamalizia kuuza eneo la Bahari, baada ya kumaliza kuuza mbuga na ardhi, Tundu Lissu yuko Huko Singida akifundisha...
Hakika sikutegemea kabisa kanisa kubwa kama KKKT lingeendesha uchaguzi wake mkuu tena wa kumpata kiongozi mkuu wa kanisa ktk style ile ile ya katakata wagombea kama alivyofanya Ramis Magufuli...
Imekuwa inanishangaza sana ni sio vibaya kusemana kimaendeleo.
Wenzetu wa kanda ya kati hasa mikoa ya Dodoma na Singida wanapenda sana sana uongozi hivyo usishangae kuwaona kwenye uwaziri hata...
Ndugu zangu Watanzania,
Taarifa inayoendelea kusambaa Duniani kwote na kugonga vichwa vya habari ,ni kuwa Rais wetu na Jemadari Wetu Daktari Samia Suluhu Hasssan anatarajia kufanya ziara nzito...
Kama unabisha fanya utafiti viongozi Wote wasio na Chembe ya Uzalendo hawajawahi Kupata mafunzo ya Kijeshi
Pale UK baada ya changamoto ya Hamas iliyoitoa Dunia usingizini, PM Sunak amesema Kila...
Za jioni.
Jpm akaenda kwenye usingizi wa milele, Rais Samiah akashika hatamu katika kipindi kigumu sana, akatuvusha na Amani ikatawala Hadi sasa!
Leo maandamano ya upinzani na mabango yao kila...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.