Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Katibu mkuu wa Kanisa la Methodist Tanzania Allen Sisi ameitaka Serikali kuufungia Mitandao wa X kwa Sababu unahamasisha mapenzi ya Jinsia Moja Source: Mwanahalisi Digital Aidha Uvccm nao...
1 Reactions
30 Replies
2K Views
Kama kuna mistake ambayo kama mwenyekiti wa chama hawezi kuifanya, Kwa mfano, wa chama cha demokrasia na maendeleo, chadema, ngazi ya taifa ni kwamba, kamwe haitatokea, wala hata thubutu kuifanya...
1 Reactions
11 Replies
812 Views
Kwako, Rais wa JMT Mhe.Samia Suluhu Hassan, Nimefarijika kusikia siku ya kesho reli ya SGR itaanza safari rasmi ya Dsm-Moro. Tangu awali tulisikia kelele nyingi juu ya mradi huu wengine walifikia...
0 Reactions
2 Replies
428 Views
Please naomba soma uzi huu uku unamuangalia mwanao kama una mtoto. Polen na majukumu uzi wangu huu unalenga kujaribu kuona kama Tunaweza jikomboa hata kwa fikra basi Dhumuni la mm kutaka wewe...
3 Reactions
7 Replies
1K Views
Balozi Hassan Iddi Mwamweta wa Tanzania amewasilisha Hati ya utambulisho kwa Baba Mtakatifu Papa Francisco anayeketi kitini pake Mtume Petro Sherehe za utambulisho zilihudhuriwa na makardinali wa...
1 Reactions
15 Replies
745 Views
My Take Mlisema Samia ameuza Bandari Kuna bango lenu hili hapa, ni spana tuu Kwa kwenda mbele. ======= Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA) imevunja rekodi kwa kutoa jumla ya...
14 Reactions
148 Replies
10K Views
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila amesema badala ya kumfungia msanii, mamlaka zinapaswa kwanza kumuelewa kwamba kwenye tungo zake anamaanisha nini, badala ya zenyewe kutafsiri kile...
3 Reactions
16 Replies
1K Views
Kada wa CCM na msanii mkongwe nchini afande Sele amesema UVCCM ni Janga la Taifa Afande amesema Wakati Rais Samia mwenyewe ameonyesha ukomavu wa kisiasa wa kukabiliana na kila lililo mbele yake...
6 Reactions
11 Replies
936 Views
Hakuna namna mwanadamu baada ya ile dhambi ya Adam na Hawa kula tunda la mti wa katikati ataweza kuishi bila kukopa Ila tunapokopa sana basi tulipe sana vile vile tusitegemee kusamehewa Madeni...
0 Reactions
1 Replies
212 Views
Mkuu wa wilaya ya Buhigwe, Kanali Michael Nhayalina akimuonyesha eneo lililovamiwa na raia wa Burundi Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi,Mhandisi Hamad Masauni(kushoto) wakati wa ziara ya kukagua...
1 Reactions
9 Replies
994 Views
Spika wa Bunge Mh. Job Ndugai amesema kama kulikuwa na tatizo la kisera, ni mambo ya kujadiliwa bungeni. Sio mara ya kwanza kutokea sera zikawa na udhaifu au zinahitaji maboresho. Anasema Zitto...
13 Reactions
315 Replies
34K Views
Nikiwa kama mwananchi ninapenda kutoa pongezi zangu za dhati kwa hawa Waheshimiwa wawili. Kwa kweli wamekuwa ni viongozi wa mfano ambao kwa kiasi kikubwa wanashughulikia matatizo ya watanzania...
6 Reactions
24 Replies
1K Views
Siku za karibuni, tutasikia Makamu wa Rais wa Malawi atazikwa. Ukizingatia mkoa wa Ruvuma umepakana na nchi ya Malawi,ninashauri Mkuu wa huo mkoa amwakilishe Rais kwenye maxishi hayo ili...
10 Reactions
44 Replies
2K Views
Wakuu, Nawashangaa nyuki wa mama na utetezi wenu wa kipuuzi, oooh ameruhusu mikutano ya siasa, oooh amerusu vyombo vya habari kuongea vitakavyo, oooh wananchi wanajiachia watakavyo mtandaoni...
13 Reactions
12 Replies
908 Views
Nakumbuka huko nyuma viongozi wa haya mashirika walikuwa na pesa kama wafanyabiashara wakubwa kwasababu ya miradi ya deal. Hebu Watanzania jiulizeni kitu kimoja Bondi za serikali kwa miaka zaidi...
0 Reactions
1 Replies
570 Views
Kwetu sisi wapiga kura je hii ni promotion au demotion??
7 Reactions
25 Replies
2K Views
Ndugu zangu Watanzania, Leo imekuwa siku ya moto sana na ngumu sana kwa wanasiasa uchwara wa Nchi hii. Leo Rais wetu mpendwa ameshusha NONDO za hatari sana zilizowakosha watanzania na kuibua...
12 Reactions
167 Replies
10K Views
Mtanzania Jabarldin Hamis Ijengo ametishia kwenda Mahakamani Kuishitaki Ubalozi wa Marekani Nchini Kwa madai kwamba haijamlipa pesa zake kufuatia kutoa taarifa za Siri na uhakika zilizowezeshwa...
9 Reactions
94 Replies
13K Views
Namfuatilia Hapa mjadala wa kesi ya mtoto wa Rais Biden aliyetiwa hatiani na mahakama kuu ya huko na Biden mwenyewe kukiri ameridhika na mwenendo wa Kesi Wenzetu Demokrasia inatekelezwa Kwa...
6 Reactions
27 Replies
1K Views
Back
Top Bottom