Bora chadema ccm hamjui hata bei za viwanja ofisini mlizozijengaCHADEMA ni Chama kikuu Cha upinzani Tanzania, ndio mbadala wa CCM kwa Sasa, Ofisi kama hii hapa chini inashusha hadhi hii adhimu ya Chama.
Kama Ofisi imebidi itumike kama genge la biashara, basi maneno ya Chama yaondolewe.
View attachment 3019590
Sasa kama ofisi haina kazi kwan n vibaya mwenyekiti wa kata wa Chadema kufanyia biashara?Hapo zilikuwa ofisi za zamani CHADEMA now wamehama
Akapangisha huyo muuza duka na nyanay
Inamaana unmeshindwa hata kutambua hilo au uliamua tu kutaka watu waone umeandika THREAD kuhusu CHADEMA
Chama kinawezesha wafanyabiashara wadogowadogo, safi sana.CHADEMA ni Chama kikuu Cha upinzani Tanzania, ndio mbadala wa CCM kwa Sasa, Ofisi kama hii hapa chini inashusha hadhi hii adhimu ya Chama.
Kama Ofisi imebidi itumike kama genge la biashara, basi maneno ya Chama yaondolewe.
View attachment 3019590
Ety anasema nyie mnakula ruzuku tuu kuongeza mwili ila kukuza ofisi za vyama hasa vijijini hamtakiHoja yako ni ipi?
huenda hapo wamampa muwekezaji kwa sharti la kuendeleza chama na kuongeza wanachama zaidi baada ya wao kishindwa gharama za kuiendesha ofisi hiyoCHADEMA ni Chama kikuu Cha upinzani Tanzania, ndio mbadala wa CCM kwa Sasa, Ofisi kama hii hapa chini inashusha hadhi hii adhimu ya Chama.
Kama Ofisi imebidi itumike kama genge la biashara, basi maneno ya Chama yaondolewe.
