Hawa ccm wanafikiri watanganyika ni wadanganyika. Yaani wachota mabilioni ya Kodiak zetu kuanzisha mchakato wa katiba mpya. Halafu walivyo ona katiba mpya itawatowa madarakan8 wakaamuwa kuzima mchato mzima ,bila hata huruma ya Kodi za Masikini zilizo kwisha tumika. Sasa bila katiba mpya wajiandae kutoka madarakani kwa shall au kwa Amani chaguo ni Lao. Huta rudi nyuma . Tumeisha vumilia vya kutosha sasa ni wakati kupigania haki kwa gharama yoyote. CCM mmetuchezea sana sasa mnamawili mkubari kushindwa kishujaa au mkubali kushindwa kinyama huku mkitafuta pakujificha.