Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Ukifuatilia kwa undani namna nchi yetu inavyoendeshwa na mambo yanavyoendelea utakubali kabisa kuwa hadi sasa CCM wamefanikiwa kwa asilimia kubwa kuubakisha mfumo wa chama kimoja kwenye fikra za...
1 Reactions
7 Replies
540 Views
  • Closed
Kwa Mara nyingine tena Mbowe na Tundu Lissu wameingia kwenye mzozo mwingine ikiwa ni siku moja tu tokea Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Kutangaza ziara katika kanda ya Kaskazini...
7 Reactions
148 Replies
8K Views
Vifaa vya ujenzi vikauzwe bunju Vifaa vya umeme kibamba Vifaa vya ndani mbagala simu ndio zibaki kariakoo Nguo gongolamboto Iwekwe order baada ya miez 3
7 Reactions
34 Replies
968 Views
Ni mara ya 2 wanaoitwa wafanyabiashara wa Kariakoo kugoma ndani ya muda mfupi. Baada ya ule mgomo wao wa kwanza tukaanza kuona migomo Iringa, Mwanza na maeneo mengine. Migomo yote ni...
3 Reactions
50 Replies
6K Views
Maduka yote Mjini Kyela leo 25/06/2024 yamefungwa, ikiwa ni muendelezo wa Mgomo wa wafanyabiasha nchi nzima kupinga dhuluma za serikali kupitia TRA, kuwakamua Wafanyabiashara hadi watoke damu...
13 Reactions
95 Replies
4K Views
Salaam! Nchi lazima iende mbele na huu ni wakati wa system kuwa makini na wakati wote kuwa kazini. Unajua tuambiane ukweli, Kuna watu wengi ndani ya CCM na nje ya CCM wanaomdharau mama.. Matendo...
3 Reactions
15 Replies
647 Views
Binafsi mbali na mapungufu ya kiuongozi yaliyopo katika chama changu CHADEMA bado naamini ni chama cha Ukombozi . Hivyo kama Mpina yuko sahihi basi huu ndio muda muafaka wa kuonesha namna CDM...
0 Reactions
10 Replies
609 Views
Kilichotokea kwa Mpina Bungeni, ni kile kilichotarajiwa. Na wala hakuna anayeyashangaa maamuzi ya Bunge, zao la uovu wa 2020. Bunge ambalo nalo ni matunda uovu na uchafu wa mwaka 2020...
21 Reactions
58 Replies
3K Views
ni kwa zaidi ya wiki sasa, anao ambatana na kuandamana nao kwa karibu sana kwa sasa, kila mahali aendako hivi sasa ni watu miongoni mwa waandamizi na wenye vinasaba na chama cha act wazalendo...
0 Reactions
1 Replies
380 Views
Nchini Kenya muswada wa fedha ulizua balaa huku wachumi wakiuchambua kila kipengele na kuelezea athari zake kwenye uchumi wa Taifa na mwananchi mmojammoja. Huku kwetu wametuita Dodoma tena...
1 Reactions
10 Replies
693 Views
CCM kama Chama Imara, kikongwe na Chama cah Mfano kwa nchi za Afrika kina namna yake ya ustaraabu wa kuendesha siasa zake. CCM inaaminiwa na mamilioni ya Watanzania kwa kuwa ni Chama peke...
1 Reactions
9 Replies
442 Views
CHADEMA mna mkakati wowote wa kuwazuia wabunge wa viti maalumu waliopo bungeni wakati huu kutorudi bungeni wakati na baada ya uchaguzi wa mwaka 2025? Mtawazuiaje ikiwa mtaona wao ndio wamepewa...
2 Reactions
34 Replies
1K Views
Mwalimu Kwa kinywa chake mwenyewe aliwahi kusema kuwa alitaka atoke madarakani mwaka 1980. Lakini baada ya vita vya Kagera, viongozi wenzake ndani ya CCM wakasema siyo sawa atoke kwenye Urais...
7 Reactions
30 Replies
1K Views
Mpina atakuwa ana tatizo la afya ya akili (kwamba ni kichaa)? Hoja imetolewa na mbunge ambaye kaonyesha wasiwasi kuhusu afya ya akili ya mbunge Mpina. Ukichaa ni moja ya mago hwa yanayotibiwa na...
7 Reactions
82 Replies
8K Views
Mbunge Luhaga Mpina amesimamishwa kushiriki vikao kumi na tano vya Bunge, lakini mimi nitasimama upande wake daima. Mpina ni mtoa taarifa muhimu kuhusu jambo ambalo wengi hawalijui, na hivyo...
2 Reactions
2 Replies
652 Views
Kwema Wakuu. Mzee mmoja ambaye ni chama dola anaongea hapa kwa majivuno kuwa hashangazwi na huo mgomo wala sio tishio kwa Serikali. Anasema kitakachomshangaza ni kama mgomo huo utadumu kwa siku...
12 Reactions
98 Replies
5K Views
Hivi kwanini watu lawama nyingi wanaitupia serikali? Hivi hatuwezi kuitumia japo hii fursa ya amani kufanya mambo makubwa? Ukiangalia kongo, Sudan na baadhi ya nchi za Afrika na dunia kiujumla...
0 Reactions
13 Replies
418 Views
Kurugenzi ya vyombo vya habari ya Wizara ya Usafiri ya Urusi iliripoti Jumatano kwamba mkataba wa usafiri wa anga umesainiwa na Tanzania. Naibu Waziri wa Usafiri wa Urusi, Vladimir Poteshkin na...
3 Reactions
23 Replies
2K Views
NAWAZAAA,NADHANI NI WAKATI SAHIHI SASA KWA MHESHIMIWA NCHEMBA KUJIUZURU KUEPUSHA YA KENYA HAPA TZ...AMEISHINDWA WIZARA ANANUNULIA TEAM ZA MIPIRA KWA MASIRAHI BINAFSI...AMESHINDWA KUA MBUNIFU KWA...
2 Reactions
6 Replies
363 Views
High tax rates hinder poor countries from growing their economies. The tax rates from sales tax to income tax are too high for our region where businesses need more and more capital to grow and...
0 Reactions
0 Replies
451 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…