Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 25,939
- 51,061
Mwalimu Kwa kinywa chake mwenyewe aliwahi kusema kuwa alitaka atoke madarakani mwaka 1980.
Lakini baada ya vita vya Kagera, viongozi wenzake ndani ya CCM wakasema siyo sawa atoke kwenye Urais wakati ndiyo kwanza nchi imetoka kwenye vita.
Lakini ilipofika 1985 Mwalimu aling'atuka madarakani. Alitoka huku Wana CCM wakishinikiza abaki.
Ilipofika zamu ya Ally Hassan Mwinyi kutoka madarakani, pia harakati za kubadili Katiba ili abaki madarakani, zikaanza.
Huko nyuma harakati hizo zilikuwa zinafanyika chini kwa chini, lakini ulipofika wakati wa John Magufuli, hoja zikafikishwa hadi Bungeni.
Sielewi lengo la Wana CCM huwa nini zaidi.
Pia soma