KWA MAZINGIRA HAYA KISIASA, NAJIULIZA TU MH. LUHAGA MPINA KUTIMKIA ACT WAZALENDO?

Tlaatlaah

JF-Expert Member
May 18, 2023
15,394
17,489
ni kwa zaidi ya wiki sasa, anao ambatana na kuandamana nao kwa karibu sana kwa sasa, kila mahali aendako hivi sasa ni watu miongoni mwa waandamizi na wenye vinasaba na chama cha act wazalendo.

vyama vingine pia wamo na ukaribu nae kwa kiasi fulani na muungwana huyo kwa mfano chadema na ADA-TADEA....

na zisizo rasmi ni kwamba ana mazungumzo na makubaliano yanayoendelea na miongoni mwa vyama mbalimbali vya siasa nchini....

na kuna uwezekano ataelekea zanzibar kwa mapumziko, na huko ataonana na mwenyekiti wa act wazalendo taifa. haijabainika wazi watazungumzia maswala gani hasa watakapokutana ratiba zao zikienda sawa...

je, mapumziko hayo ni binafsi au yana ufadhili nyuma yake kama shukrani?

hayo mapumziko huko zanzibar ni maandalizi ya makao mapya ya chama atakacho jiunga nacho, endapo atabanduliwa uanachama wa ccm?

na majadiliano na mwenyekiti wa taifa wa act ni ya kisiasa, kisheria, kibiashara, uwekezaji, ama ni kubadilishana mawazo na uzoefu tu wa masuala mengine ya kirafiki na mapambano?

hii ndiyo ladha halisia ya siasa za vyama,
na huu ndio uhai na utamu wa demakrasia ya vyama vingi nchini. yapo mengi sana ya kujifunza, kuongeza uelewa na ufahamu kuhusu political ethics kupitia jambo hili na mengine ya kisiasa kadiri yanavyotokea :pulpTRAVOLTA:
 
Kiongozi nimekusoma kwa muda toka sakata hili la sukari kufukuta pale mjengoni.Nimefikia hitimisho kuwa Bashe na wenzie wametumia nguvu kubwa sana kwenye kuzima ukweli kama haitoshi wanajitahidi kumtupilia mbali Mpina.Uthibitisho wa hili unaonekana kupitia hata kwa watu kama wew,hii nguvu ya kumuandama Mpina lazima kuna kitu umelamba sio bure.Yaan mzee ninyi ndio wale kwenye kila jambo mnaona opportunity au sio😅 hamna falsafa zinazowaongoza,hamna mnachosimamia ilimradi tu mnapewa pesa mnaruka na yeyote popote!Nimekata shauri kuwa kuna watu kweli huwa mnalipwa kuja humu👐.Hii inathibitisha kuwa hoja ya Mpina ilikuwa kweli thats y hata baada ya adhabu bado nafsi zenu hazijaridhika..What a bunch of cockroach you are!Pathetic
 
Back
Top Bottom