Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

NJOONI MUWEKEZE UFUGAJI WA MAJONGOO - DED BAGAMOYO MKURUGENZI Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Bagamoyo Bw. Shauri Selenda, ametoa fursa kwa wawekezaji nchini kujitokeza kwa wingi kuja...
0 Reactions
0 Replies
511 Views
Salaam, Shalom!! Lissu, Lema,Heche, Mpina,Mbowe, Mnyika, Ole Sendeka, Mwabukusi, Dr Slaa, ni baadhi ya watu ambao wanaweza kugombea na wasipige compaign na wakashinda Nchi hii Jimbo lolote...
2 Reactions
5 Replies
403 Views
Baada ya kuona maoni ya Mkuu wa Wilaya ya Korogwe aliyeachwa, Basila Mwanukuzi nimeona nimuunge mkono kupitia jukwaa hili. Maoni ya Mwanukuzi, soma Basila Mwanukuzi: Nchi hii wakweli hawatakiwi...
3 Reactions
10 Replies
3K Views
Kizazi cha wazalendo CCM kimeisha sasa, ndani ya CCM, kimezaliana kizazi cha mafisadi tupu na hakioni haya kufanya hivyo, wajukuu na vitukuu ambavyo vimekuta wazee wao wanajilimbikizia mali kwa...
2 Reactions
1 Replies
326 Views
Luhaga Mpina umekuwa machachari sana kuiwajibisha serikali ya chama chako tofauti na wabunge wenzako wengine wote wa chama chako. Kama utaendelea na mwendo huo unaweza kuleta mabadiliko makubwa...
2 Reactions
31 Replies
1K Views
Wadau ,,sijawahibkusikia mbunhe WA Jimbo ka kyrwa akielezea chichote bungeni au nje ya Bunge.Ndo maana nauliza ,,je Jimbo la Kyerwa linamumnge wa kychaguliwa???
0 Reactions
4 Replies
446 Views
kila anayehudhuria mikutano ya Tundu Lissu hatoki bila kuwa amefaidika kwa ELIMU. Lissu hajawatenga Polisi wetu kwa kuwapa elimu kuhusu maslahi na haki zao. Kitu cha kuvutia ni namna Lissu...
4 Reactions
22 Replies
3K Views
Salaam, Shalom!! Advocate Mwabukusi ameendelea Kutoa somo la Sheria za bunge kuwa Spika wa Bunge ni mbunge wa kawaida akiwa nje ya Bunge, hivyo Hana mamlaka yoyote kisheria juu ya mbunge mwenzie...
20 Reactions
84 Replies
4K Views
Kumradhi waungwana naona kuna mkanganiko mwingi hapa Nchini Mtu kuitwa Dr. inaonekana ni deal sana hata kufikia watu kuzitafuta kwa nguvu na pesa. Napendekeza ziwekewe tofauti, Medical doctor iwe...
3 Reactions
10 Replies
632 Views
Mwandishi wa Habari, Dinna Maningo pamoja na wenzake Waandishi wa Habari wawili wameachiwa huru baada ya kushikiliwa kwa zaidi ya wiki moja. Taarifa zaidi zinafuata... ~ Hii kamatakamata ya...
2 Reactions
8 Replies
728 Views
Nakumbuka ilikuwa march 5 mwaka uhuuu hapa alipojitokeza Makonda kuutangazia Umma wa watanzania yakuwa Rais wa Tanzania yaani Mama Samia Suluhu Hassan amekubali kutenga siku ya KUONANA na...
3 Reactions
4 Replies
322 Views
NIMESOMA Maagizo ya Spika kwa Kamati inayokwenda kumhoji Mpina kwenye suala la tuhuma alizotoa dhidi ya Bashe kwenye skendo ya vibali vya sukari...watalaamu wa sheria tunaomba mtuletee mchanganuo...
0 Reactions
1 Replies
348 Views
RC Chalamila amesema hakunaga Kitu kinamkera hapa Duniani kama kuwaona akina mama wanauza miili yao Chalamila ametolea mfano madada poa waliokamatwa wakiwa Uchi kwenye Mitaa ya Ubungo hivi...
7 Reactions
67 Replies
2K Views
KUINA Tetesi zinazoendelea kuwa Wajumbe wa Kamati ya Maadili waliopewa jukumu la kumshughulikia Mpina wameanza kugawanyika wengine wakidai Mpina hana kosa lolote na hajavunja Sheria wengine...
0 Reactions
13 Replies
821 Views
Kama una command ya kiingereza soma. Utaona kuwa people are smart! Pamoja na kuwa ni utapeli, lakini ulivyokuwa planned , Alex yuko smart. All in all, Court of Appeal imempiga chini na damages...
2 Reactions
6 Replies
743 Views
Taarifa ya Nabii wa Mungu Godbless Lema, ambayo ameisambaza leo Duniani kote kwenye kuhamasisha maandamano ya amani huko Arusha, imewataka matajiri wote wa jiji hilo kushiriki maandamano hayo...
13 Reactions
36 Replies
3K Views
KUNDI la Viana la TK Movement linalofadhiliwa na kulipwa mshahara na Mheshimiwa Huseni Bashe kwa ajili ya kujipanga na mambo ya 2025 (kumzunguka Samia) mbona mko kimya kumsaidia kujibu tuhuma...
0 Reactions
4 Replies
789 Views
NAPE KALIDANGANYA BUNGE KUHUSU ELIMU YAKE Katika kufanya Utafiti wangu kuhusu mapitio (background) ya elimu ya Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya habari Bw. Nape Moses Nnauye...
29 Reactions
154 Replies
17K Views
https://www.youtube.com/watch?v=01RbKSNp7oE https://www.youtube.com/watch?v=ntozLL3q2hc
1 Reactions
1 Replies
720 Views
Kuna mtu anaweza kudhani maandamano ya Kenya ni sheria ya fedha (Finance Bill) hapana! Maandamano hayo yana sura ya ukabila wa wazi ambao Naibu Rais anaujenga kupitia watu wa mlima, kwa maana ya...
1 Reactions
33 Replies
2K Views
Back
Top Bottom