Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Wakuu salaam! Naweza kupingana na mama sehemu nyingi ila kuna mambo ya kimaslahi kitaifa siwezi kupinga. Mama ana mapungufu yake ila??? Ila?? Nani anayetaka wafanyabiashara Kariakoo wagome na...
6 Reactions
82 Replies
5K Views
Sijamjua kama ni faida ya Katiba mpya ama la ila Wenzetu Kenya Wana Demokrasia iliyonyooka Maaskofu wote Leo wamewatetea Vijana wa Gen Z kwamba hawana Nia mbaya kwa Taifa Katika Kanisa alilosali...
9 Reactions
53 Replies
4K Views
Hiyo ndio Taarifa ya sasa baada ya mgomo wa wafanyabiashara wa Kariakoo unaoendelea ======= Waziri wa Viwanda na Biashara, Kitila Mkumbo amesema wamekutana na wafanyabiashara wa Kariakoo na...
14 Reactions
130 Replies
11K Views
Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila amefika soko la Kariakoo kutokana na Biashara kufungwa kuanzia leo Juni 24, 2024 na kuongea na wafanyabiashara. Chalamila amesema wafanyabiashara...
7 Reactions
153 Replies
8K Views
Ingefaa kwamba Umoja wa Afrika (AU) ingekuwa kama baba kwa nchi za Afrika. Uwepo wake ulipaswa kunufaisha raia wa nchi wanachama! Pamoja na uwepo wa AU, bado nchi za Afrika zimeendelea kuwa...
2 Reactions
8 Replies
605 Views
Mafisadi wameshinda, wamemfyatua Mwamba Luhaga Joelson Mpina (MB) kwa adhabu ya kutohudhuria vikao (sitting sessions) 15 Hoja ya uongo wa Waziri na kutoa vibali kwa kampuni hewa kuagiza Sukari...
5 Reactions
8 Replies
592 Views
Bunge la Jamhuri ya Muungano limekuwa sawa na Pango la Wanyanganyi na ni hatari kwa Usalama wa taifa na amani yetu. Leo tarehe 24/06/2024 Bunge limekaa kikao kujadili kinachoitwa Utovu wa nidhamu...
2 Reactions
9 Replies
685 Views
  • Closed
Kuna Kila dalili serikali kuwaonea huruma watumishi wa umma Hadi Leo tar 23.6.2024 mishahara haijatoka. Hili ni tatizo ,na ukiona serikali imeshindwa kulipa watumishi wake jua ipo mwishoni...
14 Reactions
160 Replies
18K Views
Leo tarehe 24 Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amutana Na Wajumbe Wa Bodi Ya Mishahara Na Maslahi Katika Utumishi Wa Umma na kuwaaigiza kufanya tathmini ya viwango vya mishahara wa watumishi wa umma...
5 Reactions
225 Replies
44K Views
Mbunge machachari asiyepoa kutokea jimbo la Kisesa mkoani Simiyu amesema ana ushahidi wa kutosha wa namna baadhi ya mawaziri wanavyotumia vibaya madaraka yao na kujihusisha na ufisadi wa kutisha...
51 Reactions
187 Replies
7K Views
Mbunge wa jimbo la Gairo mh Shabiby, wakati akichangia hotuba ya bajeti kuu amemshukia kama mwewe waziri wa fedha Mwigulu Nchemba kuwa tabia yake ya kutaka kuwa mzuri kwa kila mtu na kila taasisi...
12 Reactions
28 Replies
2K Views
CCM Zanzibar imemruka kimanga Naibu Katibu mkuu Dr Mohamed Dimwa aliyesema Kamati maalumu ya CCM Zanzibar imependekeza Rais Mwinyi aongezewe Muda Kutoka miaka 5 hadi 7 Katibu mwenezi CCM Zanzibar...
1 Reactions
6 Replies
646 Views
Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia yawakutanisha wadau wa elimu, sayansi na teknolojia kujadili Rasimu ya Mkakati wa Kitaifa wa Matumizi ya Teknolojia katika Elimu. Mkutano huo wa siku mbili...
1 Reactions
0 Replies
420 Views
Kabla Idara za Kodi hazijaunganishwa na kuunda TRA kulikuwepo Kitengo Cha Investigation Branch (IB) chini ya Idara ya Income tax Hawa Mabwana Kazi yao ilikuwa kufanya Uchunguzi na Ukaguzi Kwa...
1 Reactions
3 Replies
392 Views
Baada ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila kufika Kariakoo na kuzungumza na Wafanyabiashara kuhusu suala lao la kugoma kufungua biashara ambapo amewasisitiza wafungue wakati...
7 Reactions
19 Replies
1K Views
Wafanyabiashara na wenye viwanda wanapaswa kulipa kodi stahili kwa uhai wa Taifa letu. Kodi zinazolipwa zinapaswa kutumika vema,Kulindwa na kusimamiwa vema na si kufujwa. Mchakato wa kukusanya...
6 Reactions
49 Replies
2K Views
Nimeyasoma madai ya wafanyabiashara yanayouzunguka mtandaoni(ambayo yaka kama 14) na nimeona mengi hayana mashiko, hayaeleweki au ni vigumu kutekelezeka. Halafu madai ni mengi mno kiasi kwamba...
7 Reactions
33 Replies
3K Views
Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar, Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi akiongoza kikao cha Kamati Maalum ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa kilichofanyika...
0 Reactions
0 Replies
299 Views
Ndugu zangu Watanzania, Zaidi ya mahujaji Elfu moja wamepoteza maisha katika mji wa Makka walikokuwa wamekwenda kuhiji kama sehemu ya kutimiza nguzo kuu tano kwa muislamu yeyote yule mwenye uwezo...
7 Reactions
166 Replies
10K Views
Back
Top Bottom