Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Nimekusikiliza leo ukiponda nafasi ya ma DC na unapendekeza vyeo hivyo vifutwe, niliposikia ukisema maneno hayo tu sikutaka tena kukusikiliza. Huko mawilayani Wakuu wa Wilaya wana msaada mkubwa...
3 Reactions
16 Replies
683 Views
Leo tarehe 22 jijini Arusha RC Makonda akiongea na Waandishi wa habari awataka wana Arusha kujitokeza kwa wingi kuanzia jumatatu kuja kupata matibabu pamoja na vipimo vya bure kwa siku saba...
1 Reactions
1 Replies
354 Views
Ndugu zangu wananchi wote, wanasiasa, wadau wa demokarisia, uhuru, haki na usawa, wanaharakati na makundi mbalimbali ya kijamii, kiuchumu na kisiasa, hamjambo? Nawasalimu Nyote kwa Jina la...
2 Reactions
27 Replies
2K Views
Mwanadada/Mwanamama, Shy-Rose Bhanji ameendelea kulalamikia maamuzi ya CC ya Chama chake cha Mapinduzi baada ya kumkata katika kinyang'anyiro cha kuusaka ubunge wa Afrika Mashariki. Ameandika...
21 Reactions
270 Replies
30K Views
Naelewa ziara ya Rais wa JMT mh Dr Samia ilianzia Vatican kwa Baba Mtakatifu Papa Francis aketiye Kitini pake mtume Petro kisha akaelekea Norway Pale Norway nimeona Kundi kubwa la Mawaziri akina...
5 Reactions
20 Replies
2K Views
Kiongozi wa Waislam nchini Shehe Kundecha amesema kwa mujibu wa Vitabu Vitakatifu Ukahaba ni chukizo mbele ya Mungu wa Mbinguni Kwa maana hiyo amempongeza Sana Mkuu wa wilaya ya Ubungo mh Bomboko...
3 Reactions
12 Replies
550 Views
Rais wa Chama Cha Wanasheria wa Tanganyika (Tanganyika Law Society (TLS) Wakili Harold Sungusia amebainisha mambo matatu ambayo wameyagundua ya wananchi wa Tanzania na baadhi ya viongozi kuhusu...
2 Reactions
7 Replies
660 Views
Ndugu zangu Watanzania, Rais Samia ni mtu anayeishi mbele ya wakati na muda na kiongozi Mwenye akili na upeo wa hali ya juu sana,ni mtu Mwenye jicho la tatu nje na haya mawili ya kibinadamu.ni...
5 Reactions
69 Replies
3K Views
https://www.youtube.com/live/3CV9o7c2fo8?si=_pUk3LIG7gbkpfIq Rais wa Tanganyika Law Society (TLS) Wakili Harold Sungusia amewataka washiriki wa Mdahalo wa wazi juu ya mchakato wa kupata katiba...
0 Reactions
3 Replies
564 Views
Nilikuwa namfuatilia huyu dada Mpare mwenzangu Halima Mdee. Bila ubishi ni kati ya wanasiasa wachache wenye vipaji sana. Tatizo lake ni moja tu kwamba Siasa za Tanzania kufanya kwa level yake...
4 Reactions
6 Replies
580 Views
Mwenye uelewa wa neno "uchumi wa buluu". Nimekuwa nikisikiliza wenzetu,wa visiwani wakisema hili neno. Mwenye uelewa wake kwa kina,na ushiriki WA Hilo neno wa watanganyika
2 Reactions
8 Replies
728 Views
Ukinunua vitu Zanzibar na kuja navyo Tanzania Bara vitu husika vilikuwa vinalipiwa kodi ikiwa ni mara ya pili baada ya kulipiwa kodi Zanzibar kabla. Jambo hilo linaenda kuwa historia baada ya...
7 Reactions
35 Replies
4K Views
Wabunge kadhaa wamedaiwa kupeleka malalamiko kwa Rais Samia kwamba Luhaga Mpina afukuzwe CCM kutokana na kile wanachodai kukiharibu Chama cha Mapinduzi mbele ya Watanzania. Wabunge wanaotajwa...
12 Reactions
76 Replies
7K Views
Jeshi la Polisi limesema taarifa za kiintelejensia zinaonesha Tarafa ya Ngorongoro si salama sana Kwa sasa hivyo Chadema hawataruhusiwa kufanya mkutano kwenye Operesheni yao itakayoanza kesho...
3 Reactions
9 Replies
2K Views
Wizara ya OR_TAMISEMI na Utumishi iangalieni halmashauri ya Singida kwa jicho la tatu, upandaji wa madaraja unaweza usiwezekane kwa uzembe wa maofisa wa ofisi hizo. Naomba wakubwa lifuatilieni...
2 Reactions
56 Replies
3K Views
Nchi yetu ilianza kuharibika sana kuanzia pale mifumo ya wezi na watawala walipoamua kuhakikisha Tanzania haina mbunge hata mmoja wa upinzani bungeni. Wakati wa miaka ya 2005 hadi 2015 tuliona...
8 Reactions
13 Replies
694 Views
Ukifuatilia mambo mengi ya nchi hii unawezakudhani nchi haina wasomi, haina sheria wala haina wasimamizi wa sheria kila mtu ana uwezo wa kufanya lolote na asichukuliwe hatua. Chunguza mifano...
2 Reactions
2 Replies
281 Views
Ankara | 17.04.2024 🇹🇿🇹🇷 Baraza la Seneti la Chuo Kikuu cha Ankara, chuo kikuu cha pili kwa ukubwa nchini Türkiye, limeamua kwa kauli moja kumtunuku Mheshimiwa Rais Samia Suluhu Hassan Shahada...
11 Reactions
64 Replies
4K Views
Nina miaka 4 sijawahi kuona habari njema ya maendeleo kwa wananchi, kila siku habari mbaya tu. Nipeni link ya habari nzuri ya maendeleo miaka 4 hii hata nifarijike. Na huzuni tu, nipeni 1...
6 Reactions
43 Replies
2K Views
Back
Top Bottom