Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

=== Katika mahojiano yake na EFM redio mkuu wa mkoa Simiyu Mhe David Kafulila amefafanua juu ya maasi yanayoendelea nchi za wenzetu na hatma ya ukuaji wa uchumi wa Tanzania katika mizozo hiyo...
10 Reactions
65 Replies
6K Views
Na Abel Paul, Jeshi la Polisi- Arusha. Jeshi la Polisi Nchini limesema kuwa tangu Juni 22, 2024 kupitia baadhi ya vyombo mbalimbali vya habari ikiwemo mitandao ya kijamii kulionekana tangazo...
0 Reactions
7 Replies
691 Views
Jeshi la Polisi limesema Ulinzi utaimarishwa maeneo yote ya Kariakoo hivyo Wananchi waendelee na Shughuli zao kama kawaida Source: Ayo TV
4 Reactions
33 Replies
971 Views
Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam, Albert Chalamila ametoa tamko la kuwataka Wafanyabiashara wote wa Mkoa wa Dar es salaam kujiepusha na migomo na kila mmoja kujitafakari, hii ni baada ya kusambaa kwa...
4 Reactions
56 Replies
5K Views
Msiwaache Salama wanaokuja kueneza chuki Rufiji ni kauli ya Waziri Mchengerwa na Thread ipo Hapa jamvini Sasa kwanini mnamshikia bango huyo nshomile? Ufafanuzi tafadhali Komredi Lucas na...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Ni kauli ambayo ilianza kutumika sana kipindi cha Magufuli na kutia mizizi katika utawala wa Samia. Ni kauli inayotumiwa na wanasiasa na watendaji wa Serikali! Kwa sasa ni kawaida kusikia: 1...
4 Reactions
26 Replies
1K Views
ACTwazalendo tunataka CAG afanye Ukaguzi maalum wa Fedha za Muungano, Mapato, Matumizi na Fedha zinazobakia, ili kubainisha mgao sahihi na fedha ambazo Zanzibar inastahiki kupata. Naibu Waziri...
2 Reactions
9 Replies
666 Views
Maisha ni kupanga na kupanga ni kuchagua. Kwenye principle ya uchaguaji wa jambo flani katika mengi, maana yake umekubali kuyakosa hayo mengine. Kumbuka kuwa haimanishi hayo mengine huyahitaji...
2 Reactions
11 Replies
618 Views
Haya Sasa DP World wameanza kufanya Yao Dar Port Kwa kuleta meli kubwa zaidi ,urefu zaidi ya mita 300👇👇 Kampuni ya DP World iliyoingia ubia na Serikali kwa ajili ya uwekezaji kwenye bandari ya...
12 Reactions
137 Replies
10K Views
Kwa muktadha wa huu uzi, Wamatumbi ni watu wenye asili ya bara la Afrika. Wamatumbi wanakiita kile kilichotokea 1963 Zanzibar kuwa ni Mapinduzi tukufu. Sina uhakika kama kweli ni tukufu au ni...
1 Reactions
3 Replies
571 Views
Inasemekana kwamba Polisi aliyevunjika mikono pale Kenya kwa kuwatupia mabomu waandamanaji ni IGP wa Kenya. Kwa nini habari hii inafutwafutwa mitandaoni na kuonekana kama ni polisi wa cheo cha...
3 Reactions
6 Replies
591 Views
Nawalinganisha kama ifuatavyo: 1. Viongozi Kenya inaweza ikawa na viongozi wengi wabinafsi, sema wanathibitiwa na Katiba yao imara. Tanzania imeshawahi kuwa na wazalendo wachache kama hayati...
0 Reactions
2 Replies
383 Views
Nimewahi kumuona Mhe. Waziri wa Viwanda na Biashara akielezea utaratibu wa kupata leseni za biashara kwa mwaka 2024/25. Je leseni zitakatwa toka Wizarani au kuna utaratibu utakaotangazwa na Wizara?.
0 Reactions
1 Replies
321 Views
Wakuu wote salaam! Kwa wanaonisomaga humu watashangaa Sana nikisimama na Bashe leo kwenye sakata la sukari! Ila Leo ntasimama nae tena kwa hoja na sio vihoja! Kwanza kabisa Bashe ni moja ya...
10 Reactions
94 Replies
3K Views
Nimesoma Taarifa kutoka TBS ya kuridhia usambazaji wa mchele kutoka marekani na kusema eti mchele huo ni salama kwa walaji. Hivi huyu Mkurugenzi ana akili kichwani kweli? Ni mzalendo kweli...
23 Reactions
274 Replies
10K Views
Wakili Msomi Boniface Mwabukusi amempongeza Padre Dr Charles Kitima kwa Kuchaguliwa tena Kuwa Katibu Mkuu wa Baraza la Maaskofu Tanzania " Huyu ni mtumishi wa kweli wa Mungu kwa Maneno na...
7 Reactions
13 Replies
958 Views
Miaka ya nyuma, yawezekana haikuwa official lakini Vijana walijengewa sanaa uwezo wa kutatua matatizo yao. Vijana wa Sasa wamekuwa na uwezo mdogo wa kutatua matatizo yao, ndio maana kumekuwa na...
2 Reactions
14 Replies
793 Views
Back
Top Bottom