Tlaatlaah
JF-Expert Member
- May 18, 2023
- 14,810
- 17,109
Ndugu zangu wananchi wote, wanasiasa, wadau wa demokarisia, uhuru, haki na usawa, wanaharakati na makundi mbalimbali ya kijamii, kiuchumu na kisiasa, hamjambo? Nawasalimu Nyote kwa Jina la Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania....
Katika historia ya siasa za vyama vingi Africa Mashariki, hususani Tanzania, Kenya na Uganda, pamekuapo mitindo mbalimbali ya kuwasilisha maoni, mitazamo ya kisiasa, hisia na pengine kupaza sauti kuonyesha kutokuridhika kwa vyama vya siasa juu ya mambo yalivyo au yanavyokwenda dhidi ya wanavyotaka au kuona wao wana siasa inafaa na kwahivyo hutumia maandamano na migomo, kuzira na kususia mambo kadha wa kadha ikiwa ni pamoja na uchaguzi
Je, ni nini hasa faida za kuandamana, kususa au kugomea uchaguzi tukichukulia mfano wa Kenya na Tanzania, kwa Africa Mashariki?
Pamoja na faida hizo, Je, kuna hasara yoyote wanao susa au kugomea chaguzi wanazipata na kuwaathiri katika medani au majukwaa ya kisiasa?
MUNGU IBARIKI DEMOKRASIA UHURU, HAKI NA USAWA KATIKA SIASA ZA AFRICA MASHARIKI AIMEN...
Pia soma:Kuelekea 2025 - Je, CHADEMA Inapaswa Kushiriki Uchaguzi Wa Serikali Za Mitaa Bila Tume Huru Ya Uchaguzi na Katiba Mpya?