Kurzweil
JF-Expert Member
- May 25, 2011
- 6,622
- 8,410
Mwanadada/Mwanamama, Shy-Rose Bhanji ameendelea kulalamikia maamuzi ya CC ya Chama chake cha Mapinduzi baada ya kumkata katika kinyang'anyiro cha kuusaka ubunge wa Afrika Mashariki.
Ameandika yafuatayo katika ukurasa wake wa Facebook:
''Kwa habari nilizoziskia ni kwamba Mwekekiti wa Chama Rais JPM katika kikao cha CC ilipofikia jina langu kujadiliwa akasema: "Huyu wala sitaki tumjadili sitaki hata kumsikia" Naambiwa wajumbe kama wanne walinyoosha mkono lakini akawakatalia na kusema mjadala umefungwa [HASHTAG]#FullUbabe[/HASHTAG]''