Hivi huu msafara wa Mawaziri wa Tanzania ulioko Norway ulienda hadi Vatican kwa Baba Mtakatifu Papa Francisco?

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
84,035
142,137
Naelewa ziara ya Rais wa JMT mh Dr Samia ilianzia Vatican kwa Baba Mtakatifu Papa Francis aketiye Kitini pake mtume Petro kisha akaelekea Norway

Pale Norway nimeona Kundi kubwa la Mawaziri akina Hussein Bashe, Makamba nk

Ndio nauliza Mawaziri hawa walikuwepo pia Vatican kupata Baraka za Baba Mtakatifu Papa Francis?

Mfungapo Kwaresma Msiwe kama Wanafiki 😃
 
Mwenyezi Mungu amekamilisha mwongozo wake kwa Nabii Muhammad (s.a.w) na hivyo Uislamu ni dini kamilifu kwa ulimwengu wote. Allah (s.w) anasema katika Qur-an:

�� Leo nimekukamilishieni dini yenu, na kukutimizieni neema yangu juu yangu na nim ekupendeleeni Uis lam u uw e dini yenu � (5:3)
 
Baniani🐼
 
Unaweza kuwa unatutolea nukuu nyingi kumbe mchawi.
 
Hivi pale kwa papa walilala?.....
Tuna mashaka wasijekuwa wametiwa mihuri
 
Unaweza kuwa unatutolea nukuu nyingi kumbe mchawi.
[Jiupusheni na mambo saba yanayoangamiza, wakasema maswahaba: Ni yapi, ewe Mtume wa Mwenyezi Mungu? Akasema Mtume ﷺ: Kumshirikisha Mwenyezi Mungu, na uchawi, na kuuwa nafsi aliyoharamishwa na Mwenyezi Mungu ila kwa haki, na kula Ribaa, na kula mali ya yatima, na kukimbia vitani,(katika jihadi) na kuwasingizia kuwa wamezini wanawake waliojihifadhi walioghafilika tena waumini]. [Imepokewa na Bukhari na Muslim]
 
Hii ni madrasa ya JF?Natumai wanafunzi hawatokong:eek:ntwa sana.Itakuwa ni teleport learning.
 
Naelewa ziara ya Rais wa JMT mh Dr Samia ilianzia Vatican kwa Baba Mtakatifu Papa Francis aketiye Kitini pake mtume Petro kisha akaelekea Norway

Pale Norway nimeona Kundi kubwa la Mawaziri akina Hussein Bashe, Makamba nk

Ndio nauliza Mawaziri hawa walikuwepo pia Vatican kupata Baraka za Baba Mtakatifu Papa Francis?

Mfungapo Kwaresma Msiwe kama Wanafiki 😃
20240212_213312.jpg
 
Samahani: Nje ya mada kidogo. Papa hajakaa kwenye kiti cha Petro. 1. Petro alikuwa na mke. 2. Petro hakuruhusu baraka kwa mashoga. 3. 4...
 
ndiyo wote walikuwepo ikiwa ni pamoja na Nchimbi, shida yako ni nini hasa hutaki watu watumie fulsa?
 
Mwenyezi Mungu amekamilisha mwongozo wake kwa Nabii Muhammad (s.a.w) na hivyo Uislamu ni dini kamilifu kwa ulimwengu wote. Allah (s.w) anasema katika Qur-an:

�� Leo nimekukamilishieni dini yenu, na kukutimizieni neema yangu juu yangu na nim ekupendeleeni Uis lam u uw e dini yenu � (5:3)
Uislam sio dini ni tabia haya maneno mawili yana tofauti
Islam-> nyenyekevu
Hii ni tabia hata Yesu alisema yeye ni mnyenyekevu(islam)

Diniyy-> njia ya maisha
Njia ya maisha kuelekea Mwenyezi Mungu.
Yesu (Kristo)anasema yeye ni njia(dini).
Kwahiyo njia ni Kristo ambaye anakufanya mnyenyekevu(islam)
 
Kutoka kwa Yesu: “Basi, akaenda mbele kidogo, akaanguka kifudifudi, akasali:” (Biblia, Mathayo 26:39)
Wewe unasali au unaimba?
 
Waislamu Husalimiana Kwa Kusema “Assalamu ’Alaykum”, Maana Yake: “Amani Iwe Juu Yenu” – Yesu Alikuwa Akisalimiana Kwa Njia Hiyo Hiyo

“Wanafunzi wote wawili walipokuwa wakiwaambia hayo, Yesu mwenyewe akasimama kati yao, akawaambia “Amani iwe juu yenu.! “(Biblia, Luka 24:36)

“Mnapoingia nyumbani wasalimuni wenyeji wake kwa salamu ya amani” (Biblia Mathayo 10:12)
 
Nasa
Kutoka kwa Yesu: “Basi, akaenda mbele kidogo, akaanguka kifudifudi, akasali:” (Biblia, Mathayo 26:39)
Wewe unassailable au unaimba?
li hivyo nikiwa katika eneo kama lile Yesu alikuwa. Hata wewe unaingia bila viatu wakati mtume hakuvua viatu
 
Back
Top Bottom