Tlaatlaah
JF-Expert Member
- May 18, 2023
- 16,488
- 18,523
Kwanza,
Kwa tabia mbaya ile isiyo ya utii, maadili na uaminifu kwa chama na serikali yake sikivu, unadhani bado anastahili kua mwanachama wa CCM au chama kingine chochote cha siasa?
Baada ya bunge kupitia kamati ya maadili na madaraka ya bunge kukamilisha kazi ya uchunguzi na uchambuzi iliyopewa na spika wa bunge, dhidi ya nyaraka ghushi alizowasili mbunge wa Kisesa CCM na kugundua hazikua taarifa sahihi.
Unadhani CCM inakwenda kumchukulia hatua gani kali sana muhusika, ili iwe fundisho kwa wanachama wa CCM wengineo wenye nia, kiburi, jeuri na hulka za upotoshaji kama alizonazo mpotoshaji huyo aliekatazwa kukanya ardhi ya bunge katika vikao visivyopungua 15?
Unapendekeza adhabu gani kali zaidi, CCM imchukulie mbunge wake alie bainika na hatia ya kulidharau Bunge na Spika, lakini pia kujaribu kutumia taarifa zisizo sahihi kumtuhumu waziri wa kilimo dhidi ya hatua muhimu sana alizochukua kukabiliana na upungufu wa sukari nchini?🐒