Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Watanzania tumheshimu na kumuombea sana Rais wetu Samia Suluhu Hasan tusisahau kwamba Rais wa nchi amebeba hatma ya nchi na wananchi wake Nimesikia na kufuatilia kwa uchache sana mambo...
13 Reactions
85 Replies
5K Views
Ami R. Mpungwe Chairman, Tanzania Chamber of Minerals and Energy, Tanzania 1975, BA in Political Science and International Relations, University of Dar-es-Salaam; postgraduate diploma in...
2 Reactions
29 Replies
9K Views
Balozi Ami Mpungwe,mwanadipolomasia na mtumishi wa umma wa miaka mingi.Alikuwa balozi wetu wa kwanza wa Tanzania nchini Afrika Kusini,Ami Mpungwe ndiye aliyekabidhiwa na chama cha ANC kukaa na...
13 Reactions
57 Replies
12K Views
Mwenezi wa CCM Dr Makalla amesema Tundu Lisu anapohutubia Kwamba Rais Samia amegawa pikipiki nchi nzima anaisaidia CCM kueleweka kwa wananchi Uimara wake Rais Samia ni Mwenyekiti wa CCM...
4 Reactions
46 Replies
3K Views
Nathubutu kusema Msigwa ameshindwa kusoma nyakati, hatukatai kwamba CHADEMA hakuna mapungufu lakini sioni kama Matatizo anayoyasema ndio chanzo cha yeye kuhama. Watu wenye macho matatu wanajua ni...
3 Reactions
11 Replies
675 Views
Waaslaam Wakuu haya ni mawazo yangu na mapendekezo yangu kuhusu huu uzi ulioanzishwa na huyu jamaa. Sijui na nyinyi mna maoni gani? Maoni ya Mtanzania anayeishi UK Kuhusu Kupanda kwa Kodi za...
2 Reactions
4 Replies
439 Views
Ni dhahiri sasa kuwa maandamano ya Gen.Z kule Kenya hayawezi tena kutulizwa na Polisi au Jeshi maana kitakacho tokea ni mauaji ya Raia ya kutisha na hilo haliwezi kukubalika duniani pote. Umma wa...
3 Reactions
13 Replies
572 Views
NCCR Mageuzi yaani National Convention for Reconstruction and Reform- Mageuzi ndio kilikuwa chama strong na chenye siasa za ukweli, kiliweza kuipa changamoto CCM sana. Kilikuwa na wasomi...
0 Reactions
0 Replies
503 Views
Watu wengi wanaweza kuwa wamesahau, wakati Serikali ya awamu ya tano inaingia madarakani ilikuta shirika la umeme nchini(TANESCO) wanakata 7000 kila mwezi kama gharama ya kuhudumia laini. Ilikuwa...
6 Reactions
11 Replies
920 Views
inashangaza sana kuona mpaka sasa ukanda huu hauna chuo kikuu cha serikali licha ya kuwa sehemu inayotoa wasomi wengi na kuwa na jiji kubwa la Mwanza. vyup utavyovikuta ni vya kati tena ni matawi...
0 Reactions
5 Replies
636 Views
Wakati serikali ikitarajia kutangaza zoezi la maboresho ya daftari la wapigakura katikati ya mwezi wa saba kwaajili ya uchaguzi wa serikali za mitaa utakaofanyika mwishoni mwa mwaka huu Mbunge wa...
0 Reactions
0 Replies
357 Views
Tangazo la Serikali namba 518 la Tarehe 26/06/2024, Sheria ya Ununuzi wa Umma
2 Reactions
0 Replies
314 Views
AWESO AMUWEKA PEMBENI MENEJA DAWASA KINYEREZI, MALALAMIKO YA WANANCHI YACHANGIA Waziri wa Maji Jumaa Aweso amemsimamisha Meneja wa DAWASA Kinyerezi Burton Mwalupaso Kwa kushindwa kutekeleza...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Ameandika Jesse Kwayu: WIKI iliyopita imekuwa ya harakati nyingi katika ukanda wa Afrika Mashariki. Kubwa ya yote ni kizazi kinachojulikana kama Generation Z kuingia barabarani nchini Kenya ili...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Salaam Wakuu, Natoa tahadhari kwa Wafusi wa Mheshimiwa Freeman Mbowe Mwenyekiti wa CHADEMA. Kama wafuasi wa Mbowe wataendelea kutukana Viongozi wa CHADEMA kama walivyofanya kwa Mchungaji Msigwa...
2 Reactions
21 Replies
1K Views
Namuona huyu waziri angalau ukilinganisha na wengineo, yeye anaonekana ana haiba ya uongozi, hana longolongo nyingi sana maneno kidogo vitendo vingi, kama akiendelea na hii kasi yake. Namuona...
3 Reactions
30 Replies
1K Views
Report ya CAG wakuu wa vitengo 747 ndio vihiyo wanaongoza wenzao h Babati,Buchosa ,ileje , geita, ndio zinaongoza kuwa wa vilaza wanaongoza idara hizo hapa nchini Tusitegemee lolote la maana...
13 Reactions
106 Replies
10K Views
Hakuna ubishi kwamba Uwezo wa Dr Samia Suluhu wa kuongoza Nchi hadi ikatulia tumeuona. Japo kuna changamoto ndogo ndogo za Hapa na Pale. Napendekeza Baada ya Dr Samia kupitia Chama cha Mapinduzi...
0 Reactions
40 Replies
2K Views
Viongozi wengi wakubwa kwenye vyama vya siasa wanaokubalika wanapoondoka kwenye vyama vyao huondoka na kijiji, kwa maana wanaondoka na wafuasi wao, maana wanakuwa nao. Lowassa alipokwenda...
9 Reactions
39 Replies
1K Views
Karibu tena CCM Cde Msigwa. Nimekusikia eti unataka chama kikupe pesa uzurule nchi nzima kunadi mabaya ya CHADEMA wenzako, Je, hii ni habari ya kweli? Kwanza, Mch, lazima ufahamu...
5 Reactions
17 Replies
797 Views
Back
Top Bottom