Yoda
JF-Expert Member
- Jul 22, 2018
- 37,681
- 46,362
Marais karibia wote waliopita majina yao yamepewa miondombinu mikubwa na vitu vingine muhimu katika nchi kasoro Rais Ali Hassan Mwinyi tu ndio amesahaulika. Huwa nasikia uwanja mmoja tu wa mpira ukiitwa kwa jina la mwinyi lakini hata sijui uko wapi huo uwanja.
Sasa ni vyema Daraja la Kigongo Busisi, Mwanza au la Tanzanite Dar mmojawapo likapewa jina la Ali Hassan Mwinyi, Pia hospital mmojawapo kubwa ya Rufaa kama ile ya Chato ipewe jina la Ali Hassan Mwinyi.