Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 20,315
- 38,454
Wakati fulani Mwenyekiti wa CCM Jakaya Mrisho Kikwete aliwahi kusema kuwa ndani ya chama chao kuna uhasama kiasi kwamba viongozi wa chama hicho wakitoka kwenda msalani kama alikuwa na wenzake hawezi kuwaachia wenziwe hao Glasi ya Maji kwa hofu ya kuwekewa sumu.
Ni miaka kadhaa imepita sasa na sijui kama hali imebadilika ndani ya chama hicho, au imebadilika? Jee leo wana CCM mnaweza kuachina Glasi mnapokwenda Msalani mkiwa na wenzenu, au ile hofu ya kuwekewa sumu aliyoisema Kikwete bado ipo?