Ni ama Makonda au Mchungaji Msigwa bungeni

Ni ama Makonda au Mchungaji Msigwa bungeni

Wote ni wajinga tu na hawana chochote cha kipekee katika kuifanya nchi yetu isonge mbele kiuchumi.

Tunahitaji big brains kwenye nafasi za juu za maamuzi. Tunahitaji Katiba bora ya kuwafunga speed governor wanasiasa.

Mengine ni ujinga tu. Kupeana ulaji kwa maslahi yao binafsi na siasa zao uchwara tu!
 
Vizuri zaidi apelekwe makonda apewe uwaziri wa kilimo!
Atafanya kipi cha maana?

Ana uwezo upi wa kuleta miujiza?

Hizo akili zenu za kijinga kutegemea wanasiasa kuwaletea mabadiliko ndo mana hii nchi kila siku itazidi kuwa maskini
 
Bahati ya mwenzio usiilalie mlango wazi

Je, ni Maombi ya Mtume Mwamposa au Mchungaji Msigwa yamesikika

Ngoja tuone 😂😂🔥
Mmeanza ramli zenu.
Kwa hiyo Msigwa ndio anaonekana anafaa kuliko wanaCCM wote ambao wamekipigania chama ikiwemo kumshawishi Msigwq ahamie chamani! Ama wanaCCM hawana uwezo wa kuwa viongozi hadi tusubiri wanaokuja kutoka vyama vya upinzani?
 
Atafanya kipi cha maana?

Ana uwezo upi wa kuleta miujiza?

Hizo akili zenu za kijinga kutegemea wanasiasa kuwaletea mabadiliko ndo mana hii nchi kila siku itazidi kuwa maskini
Kwahiyo unataka nani akuletee mabadiliko wakati umemchagua ili akuwakilishe huko bungeni? Au ulikua na maana gani hapa mkuu?
 
Mmeanza ramli zenu.
Kwa hiyo Msigwa ndio anaonekana anafaa kuliko wanaCCM wote ambao wamekipigania chama ikiwemo kumshawishi Msigwq ahamie chamani! Ama wanaCCM hawana uwezo wa kuwa viongozi hadi tusubiri wanaokuja kutoka vyama vya upinzani?
Basi aka Tumbiri 😂
 
Hakika,hao wawili mmoja wapo anaenda bungeni..na kulamba uwaziri kabisa
 
Bahati ya mwenzio usiilalie mlango wazi

Je, ni Maombi ya Mtume Mwamposa au Mchungaji Msigwa yamesikika

Ngoja tuone 😂😂🔥
Nahic n Msigwa
Ubunge wa kuteuliwa nao una utenguzi wa kimya kimya kumbe
 
Kuna wabunge wachache sana wanaostahili kuwepo kwenye Baraza la Mawaziri katika kipindi hiki ambacho nchi yetu inahitaji akili kubwa ili zituvushe katika changamoto hizi za dunia yetu hii kiuchumi.

Pia tuna wanasiasa wachache sana wenye uwezo ambao wanastahili nafasi hizo za juu katika dunia hii ya ushindani.

Mwisho Tanzania tuna mkwamo wa asili unaosababishwa na Katiba mbovu inayowaweka wanasiasa kuwa juu ya watendaji. Na hapo ndo tatizo kuu lilipo!
Kwahiyo unataka nani akuletee mabadiliko wakati umemchagua ili akuwakilishe huko bungeni? Au ulikua na maana gani hapa mkuu
 
Back
Top Bottom