Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Leo ni siku ya kumbukumbu ya mashujaa 25/7 Kila mwaka ambapo Taifa linaadhimisha na kukumbuka mchango wa mashujaa waliolipambania Taifa. Na mgeni rasmi wa sikukuu hii Huwa ni Rais ambae ni amiri...
1 Reactions
38 Replies
2K Views
Ndugu zangu Watanzania, Ukiachana na jiji la Dar es salaam kesho Mheshimiwa Mwamba Mwenyewe Paul Makonda kwa mara nyingine tena akiwa mkuu wa Mkoa wa Arusha anakwenda kujiwekea historia nyingine...
4 Reactions
90 Replies
6K Views
Kwanza nieleweke, hapa natoa mfano wa Makisio ya jumla ya gharama endapo kama serikali au mtu binafsi ameamua kugaramia safari za wasanii 40 kwa kutumia rates za kiserikali kuwasafirisha kwenda...
43 Reactions
119 Replies
11K Views
Wadau hamjamboni nyote? Hakuna ajuaye ya kesho na mipango ya Mungu siyo mipango ya mwanadamu Ni kuhusu Mheshimiwa Paulo Makonda Mkuu wa Mkoa wa Arusha kwa sasa. Naomba maoni yenu kuhusu mambo...
0 Reactions
36 Replies
2K Views
Sikiliza hapa: Katika Mkutano huo wa Hadhara jijini Arusha Gobless Lema amedokeza kuwa wapo baadhi ya Viongozi wa Serikali wanamtulana Rais Samia. Akifafanua jambo hilo Lema anasema: "Natoa...
13 Reactions
161 Replies
17K Views
Utekaji na kupotea kwa watoto kunakotokea kwa sasa kuna viashiria vya mikakati ya kundi la watu wenye nia ya kuondoa utawala fulani madarakani. Hali kama hii mara nyingi umalizika kwa kuondolewa...
3 Reactions
6 Replies
1K Views
Ni kama vile DC Magoti anaona kama wananchi wanadhani yeye sio DC, lakini kawadhihirishia kwamba yeye sio DC wa Mpeche Mpeche, ni DC wa kimataifa, na kwamba wasidhani kwa umbile yeye ni mtoto...
10 Reactions
49 Replies
3K Views
Ndugu zangu Watanzania, Baada ya Rais wetu mpendwa na Jemedari wetu kipenzi Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan,Kuteka hisia za watu na kutawala anga la Siasa hapa Nchini kwa takribani...
5 Reactions
37 Replies
2K Views
Rais wa mabunge duniani Mh .Tulia Mwansasu amekutana na raisi wa urusi Vladimir Putin mjini St Petersburg kujadili jinsi ya kuleta amani duniani. Nilisoma hapo St Petersburg miaka hiyo pako poa...
10 Reactions
45 Replies
12K Views
QUUR-JUWAAN . Nikimnukuu Magoma, Mwanachama wa Yanga aliyekwenda mahakamani kuishtaki Bodi ya wadhamini wa Dar Young African, aliulizwa haogopi Ju-Ju- Man akajibu hapo ndio wasijaribu, kwasababu...
4 Reactions
8 Replies
934 Views
Karibuni wataalamu wa Siasa na Uchumi . 1966 - 1 US dollar ilikuwa shilingi 7 za kitanzania . 2024 -1 us dollar ni shilingi 2600 za kitanzania. Hapa inaelezwa thamani ya shilingi ya Zanzibar...
7 Reactions
108 Replies
4K Views
Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Makonda: Kwa umri huu nitishike na kauli za watu? Mtapata watu wengine watakaowapetipeti, nasikia wanaangaika na mitandao. --- Akiwa wilayani Monduli RC Makonda...
35 Reactions
320 Replies
18K Views
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi kama ifuatavyo:- 1. Amemteua Jaji George Masaju kuwa Mshauri wa Rais, Masuala ya Sheria (Advisor to the President...
5 Reactions
83 Replies
10K Views
Huenda huu ndio ulikuwa mwanzo wa mwisho wa safari ya kisiasa ya Mbunge na mwanasiasa machachari toka Chama tawala nchini Tanzania Bw January Yusuph Makamba. Pia soma >...
17 Reactions
81 Replies
8K Views
Sifa zake:- 1. Awe ni rais mstaafu wa JMT mkongwe kuliko wote. 2. Awe amehudumu kiti cha urais kwa mihula 2 (miaka 10). Majukumu yake. 1. Kuridhia maamuzi ya serikali juu ya uuzwaji ama...
6 Reactions
40 Replies
2K Views
Miradi ya Meli, SGR na Maji yakwama Mwanza, pesa zinapigwa na Serikali yagoma kupeleka pesa Miradi mikubwa mitatu ya kimkakati iliyopo jijini Mwanza iliyoanzishwa na Serikali ya awamu ya tano...
3 Reactions
36 Replies
4K Views
Nimekuwa nikifuatilia utekelezaji wa miradi na kuona kama inasuasua kwenye maeneo kadhaa mikoani. Ninaishauri serikali na vyombo vyake kusaini mikataba isainiwe baada ya fedha kutengwa. Kwa...
0 Reactions
1 Replies
186 Views
Bado Mungu anaendelea kuipigania nchi hata kama watanzania wengi wamekata tamaa. Nape alitumbuliwa na Magufuli, ikawa nongwa na mashambulizi yakaanza hadi wazee wenye heshima zao wakaingia kwenye...
4 Reactions
6 Replies
531 Views
Tanzania na Visiwa vya Comoro zimesaini Hati nne za Makubaliano kwenye kilele cha Mkutano wa Kwanza wa Tume ya Pamoja ya Ushirikiano (JPC) kati ya Tanzania na Comoro uliofanyika tarehe 24 Julai...
0 Reactions
2 Replies
474 Views
Hivi hii Nchi imefikia hatua kiongozi kuumwa ni jambo la Siri? Mbona Kikwete alipoumwa Tezi Dume ilikuwa ni wazi na Kila mtu alijua? Kuna watu mnawatengenezea umaarufu bila hata sababu ya...
11 Reactions
34 Replies
3K Views
Back
Top Bottom