figganigga
Platinum Member
- Oct 17, 2010
- 27,559
- 62,122
Meritocracy society ni mfumo ambao watu hupata nafasi, madaraka, ajira, au mafanikio kutokana na uwezo, juhudi na vipaji, badala ya kutokana na familia wanayotoka, utajiri, ukabila, dini, au uhusiano wa kisiasa.
Nepotism ni tabia ya kumpa ndugu, jamaa, au marafiki wa karibu upendeleo katika ajira, vyeo, mikataba, au fursa nyingine, bila kuzingatia kama wao ndio wenye sifa au uwezo unaohitajika.
Kwa mfano:
Samia Suluhu alimteua Mchengerwa ambaye ni Mkwe wake kuwa Waziri. Vilevile akamteua Mtoto wake kuwa Waziri.
Tuseme watanzania wote zaidi ya Milioni 63, Familia ya Samia tu ndo yenye watu wenye akili?
Tunataka Katiba mpya ili tutengeneze Nchi yetu upya.